johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huu mradi haufiki Nyerere dayKufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono π
Ni viongozi wakubwa wa CCM wapo na mawaziri kitachofuata ni yeye kuondolewa pale TRCHivyo vitisho havina maana, kusanya ushahidi piga kesi ya uhujumu uchumi. Ni upuuzi kuhujumu mega projects
Mganga hajigangiWanyongwe tu hao wahujum uchumi.
Huu ni uongo na kichaka Cha kujificha kukwepa kuwajibika Kwa sababu za uzembe.Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono π
Sins of our fathers, kuna katabia or tamaduni ya kushindwa kusimamua project na kulinda project zinazoanzishwa nchiniWakati mwalimu Nyerere anang'atuka madarakani aliacha miradi mingi iloyokuwa ikiendeshwa chini ya usimamizi wa Serikali, miradi hiyo ilikufa kwasababu ya kukosekana kwa wasimamizi waadilifu .
Hili linaenda kutokea katika mradi wa treni ya mwendokasi (SGR).
Akina daktari Geita trans πWahujumu ni wamiliki wa kampuni za mabasi na ndiyo hao hao viongozi serikalini
Utakuja kusikia wanatafuta muwekezaji!Wakati mwalimu Nyerere anang'atuka madarakani aliacha miradi mingi iloyokuwa ikiendeshwa chini ya usimamizi wa Serikali, miradi hiyo ilikufa kwasababu ya kukosekana kwa wasimamizi waadilifu .
Hili linaenda kutokea katika mradi wa treni ya mwendokasi (SGR).