Kadogosa: Kuna njama zinafanywa Kuhujumu treni ya SGR na hazijaanza Leo na tumeshawabaini Wanaotuhujumu!

Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo

Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo

Source Mwananchi

Mlale unono 😃
Sio Chadema?😅😅
 
Taifa linaangamia kwa kukosa uzalendo.
 
Goli liko wazi mkuu
Kabisa, nimepita insta huko kwenye page moja ya "wanazi" chuma ziko melini ni kama mashindano kila kampuni inaingiza chuma mpya wenye Irizar, wenye Scania, wenye Yutong mala sijui Zongtong yaani ni vurugu tupu, ukirudi huku kwa Mirald Ayo unakuta treni mpya imezingua njiani masaa mawili,, nyie
 
Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo

Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo

Source Mwananchi

Mlale unono 😃
Naye aache siasa,kama wanafahamika tunataka kusikia wamechukuliwa hatua tayari siyo atuambie watachukua hatua huo ni uongo
 
Back
Top Bottom