Kadogosa: Kuna njama zinafanywa Kuhujumu treni ya SGR na hazijaanza Leo na tumeshawabaini Wanaotuhujumu!

Hawa jamaa kwa kweli wanatia hasira sana. Wanapaswa kubinywa ili wataje chain nzima na wanyongwe hadharani iki iwe fundisho!! Huwezi kuhujumu mradi mkubwa kama huu ambao unategemewa na mamilioni ya Watanzania.
 
Kadogosa mpuuzi 1 Ana genge lake hatari na kajaza hr upande wa consultancy wote sukuma wenzie na ndo informers wake kwa kila kitu kwenye ununuzi wa magari kapiga mzigo wa maana sna hasa magari ya mradi lot 4 Hadi 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…