Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Sio Chadema?😅😅Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
Kuna Kampuni basi zinaanza kuondoka saa 11 alfjili hadi saa 9 Usiku non stop 🐼Kwa kasi ya uingiaji wa mabasi mapya nchini napata ukakasi wa uhai wa huu mradi wa SGR,
Machame Sleeping coach 😂😂Sio Chadema?😅😅
Taifa linaangamia kwa kukosa uzalendo.Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
Hana huo ubavu hiyo ngozi haiguswi, wasingefanya huo ujinga angekuwa MwendazakeNjama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
Hii ni mbaya sana kwa usalama na maendeleo ya TaifaSins of our fathers, kuna katabia or tamaduni ya kushindwa kusimamua project na kulinda project zinazoanzishwa nchini
Goli liko wazi mkuuKwa kasi ya uingiaji wa mabasi mapya nchini napata ukakasi wa uhai wa huu mradi wa SGR,
Ndio suluhisho. Serikali ibakie kusimamia ukusanyaji kodi, uendeshaji wafanye wawekezajiUtakuja kusikia wanatafuta muwekezaji!
Kabisa, nimepita insta huko kwenye page moja ya "wanazi" chuma ziko melini ni kama mashindano kila kampuni inaingiza chuma mpya wenye Irizar, wenye Scania, wenye Yutong mala sijui Zongtong yaani ni vurugu tupu, ukirudi huku kwa Mirald Ayo unakuta treni mpya imezingua njiani masaa mawili,, nyieGoli liko wazi mkuu
Basi hata ikulu apewe muwekezaji ikibidi mahakama na bunge wapewe tu maana hatuna wenye utashiNdio suluhisho. Serikali ibakie kusimamia ukusanyaji kodi, uendeshaji wafanye wawekezaji
Naye aache siasa,kama wanafahamika tunataka kusikia wamechukuliwa hatua tayari siyo atuambie watachukua hatua huo ni uongoKufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
Kwamba kwa utashi wako unaona ni sawa sawa kufananisha uendeshaji wa Ikulu na mradi wa SGR!!? Seriously!Basi hata ikulu apewe muwekezaji ikibidi mahakama na bunge wapewe tu maana hatuna wenye utashi
Hasa hivi vitoto vya uvccm ndiyo huwa vinatumiwa kufanya hujuma kama wanavyotumiwa kuchoma moto masoko.CCM ni wahujumu uchumi wakubwa
Kama tumeshindwa kusimamia vilivyopo tunakazi ganiKwamba kwa utashi wako unaona ni sawa sawa kufananisha Ikulu na mradi wa SGR!!? Seriously!
Kumbe unawajua? 😀Hana huo ubavu hiyo ngozi haiguswi, wasingefanya huo ujinga angekuwa Mwendazake
Kweli kabisaNdio suluhisho. Serikali ibakie kusimamia ukusanyaji kodi, uendeshaji wafanye wawekezaji
Shujaa Magufuli: Vita ya Uchumi ni hatari sana 🐼Naye aache siasa,kama wanafahamika tunataka kusikia wamechukuliwa hatua tayari siyo atuambie watachukua hatua huo ni uongo
Shujaa Magufuli au Kichaa Magufuli? Hebu nyoosha maelezo Joe.Shujaa Magufuli: Vita ya Uchumi ni hatari sana 🐼