Kadogosa: Kuna njama zinafanywa Kuhujumu treni ya SGR na hazijaanza Leo na tumeshawabaini Wanaotuhujumu!

Wahujumu uchumi ni nyie mlioenda kutununulia ma treni mabovu kwa mikataba mibovu .
Hivi hayo matreni yenu mabovu hayakuwa na warrant ili muyarudishe mpewe mazuri?
Kwani umeambiwa train ndio mbovu? Au uelewa wako upo
Ni uzembe wa vyombo vya Usalama. Wanaujua ukweli maana wana taarifa nyingi lkn wanafukia vichwa mchangani kama mbuni. Watu wa namna hii hawakusitahili kuzaliwa kimsingi wanajilaani wenyewe kwa kununulika
Hao wala sio wa kuwachekea tatizo unakuta wahujumu ndio wafadhili wa chama sasa wanawaogopa na hilo ndilo tatizo la kuchanganya wafanyabiashara na serikali
 
Watakuwa CHADEMA tu lazima
 
Watakuwa CHADEMA tu hao, lazima
 
Ndio
Mahujumu ya mradi nimeyakuta yamevaa mashati ya kijani na njano yakiimba anaupiga mwingi
Hayo hayo sasa wamekuwa waganganga wa kienyeji kwamba miradi haitafanikiwa bila wao kuwepo kupitia nyimbo Mpya ya tumbili kupitia ppp. Ambaye Naye kama kadogoo wapo hapo kama kiungo
 
Chukulia wewe ndio serikali.

The ‘objective’ jamani enhe tujenge reli, kutoka Dar kuelekea ukanda wa ziwa na nchi za jirani.

The ‘goal’ hii reli aitasaidia kubeba raia tu, bali itabeba na mizigo kutoka bandarini kwenda nchi za jirani na kuongeza ‘economies of scale’ wa uwezo wa bandari na kuongeza mapato ya taifa.

Planning hela ya kujenga reli tunatoa wapi? Tutakopa, kulipa tushafanya SWOT, PEST na Competition analysis; kwa upande wetu sisi tuna advantage kushinda wapinzani wetu.

Strategy tutajenga in phases, kuanza kwa phases; mapato yatakayopatikana kwenye phases faida yake yote itaanza kulipa madeni, huku tukitafuta funds za kujenga phase zingine, hii inawezekana kabisa.

Phase yenyewe iliyokamilika aijachanganya wanatuambia kuna watu wanahujumu tayari, kuna mkakati hapo na wahusika kuelewa madhara ya huo uhujumu.

Kuna watu kweli huko serikalini waliosoma finance, degree za biashara yoyote, let alone MBA.

Halafu mkitoka hapo mnasema mnasema mna usalama (uthenge mtupu).

Usalama wa taifa wa taifa ni mchezo wa watu, wenye akili; nothing else. Uwezi kuwa mjanjq kushinda mtu aliekuzidi akili ni waafrika tu ndio wenye fikra hizo.

Lipo wazi asilimia kubwa ya watu waliopo serikalini hawana uwezo; ni muda wa kuanza kufanya succession planning sahihi maana hiko siku watazeeka na kufariki Tanzania itakuwepo uwezo wa hakina nani watakao ilinda huko ni jinsi watakavyo waanda leo.

Wakienda huko uingereza na kuingia kwenye underground trains, chief engineers walio design kwa umri wao wengi walifariki kabla ata single line aijaanza kazi. Walifanya kwa vizazi vyao vya mbele.
 
Tofauti ya akili za wazungu na waafrika.

Walt Disney (mwenye theme parks zake) na alieanzisha Disney franchise zote alifariki siku chache kabla ya kufunguliwa kwa first ever Disney park.

Siku ya ufunguzi wa park, Kaka yake wa karibu (Roy Disney) ambae alikuwa kama business partner, waandishi wakamuuliza it’s a shame ‘Walt Disney’ hayupo kuona ufahari wa kitu alichojenga. Jibu la ‘Roy Disney’ likawa hakuna shame yoyote, mimi na wewe tuna bahati ya kuona final product, lakini hiki tunachokiona leo ‘Walt Disney’ alishakiona kichwani kwake miaka mingi sana kabla hata huu uwanja uliopo hii park aujafyekwa.

Walinzi wa nchi hawawezi kuto ona faida ya SGR, waache watu waharibu; hakuna label nyingine ya kuwapa zaidi ya kuwa watu wapumbavu mno.

Mambo mengine, hata kama hayatuhusu yanakera, yaani watu kabisa wathubutu kuhujumu SGR na nchi Ina vyombo vya ulinzi.

Pathetic
 
Mbona unaogopa sana uliwahi kufanyiwa nini hapo Ufipa?! 🐼

Wakubwa zako wanaingia Jela kila siku lakini Wewe unaonekana kuwaogopa kweli kweli 🐼🐼
Mimi kidume kama unabisha nipe location , kinywaji chako pendwa utapata.
 
Hata mm na wew tutakufa. Kipi cha ajabu!! Inaonekana ukoo wenu mna akili nyingi, km vp mpeleke dadaako akaendeshe Shirika!!
 
Huwezi tumia watu walio feli shule,kufanya Kazi zenye kuhitaji akili timamu na kubwa na hapa ndipo watu weupe wametushinda.

Huko kwenye vyombo vya ulinzi kumejaa vilaza na watu wasio jitambua.Rushwa na ubinafsi unaliangamiza hili taifa letu na mbaya zaidi watu wenye akili wamejitenga na kundi kubwa lenye madaraka.

Watu wenye akili kubwa kama Plato,Saint Simon nk wanatoi Rai kwamba viongozi lazima wawe watu wenye akili kubwa sio vilaza kama tulio nao hapa Tanzakiza.
 
They don’t get it ni elimu hiyo-hiyo walio fanyia forgery ya vyeti. Wenye uelewa wa kawaida tu wanaona wanavyopaywa.

Kuna watu wepesi wanaweza wanadhani dhani tunaandika tu, bila ya kwanza ku-evaluate situation na kuona wapi kwenye shida.

Kwa watu makini there is a lot of thinking which goes behind, supervision and mitigating risk in business strategies. Sasa ukiona mambo yanavyo haribika kirahisi ni rahisi kuona wenye nafasi wanavyopwaya.

Sio mambo ya kutoa kichwani tu, there is logic behind the scrutiny, na tatizo lipo wazi kama umesomea hayo mambo.

Wamezoea kuteuana bila ya uwezo, na hao wanao wateuliwa wanaropoka ujinga kwa sababu hawana elimu ya nitty gritty ya mambo wanayo yaongelea basi wanadhani watanzania wote ni mazuzu kama hao waropokaji wao.

Worst zama hizi za mass communication and easy availability of technology kwenye kuwafikia watu. Wameajiri walalahoi kibao kwa njaa zao wapo committed kweli kutetea ujinga bila ya kuelewa madhara yake, hata sijui hiyo nchi inaenda wapi.

It’s sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…