Tofauti ya akili za wazungu na waafrika.
Walt Disney (mwenye theme parks zake) na alieanzisha Disney franchise zote alifariki siku chache kabla ya kufunguliwa kwa first ever Disney park.
Siku ya ufunguzi wa park, Kaka yake wa karibu (Roy Disney) ambae alikuwa kama business partner, waandishi wakamuuliza it’s a shame ‘Walt Disney’ hayupo kuona ufahari wa kitu alichojenga. Jibu la ‘Roy Disney’ likawa hakuna shame yoyote, mimi na wewe tuna bahati ya kuona final product, lakini hiki tunachokiona leo ‘Walt Disney’ alishakiona kichwani kwake miaka mingi sana kabla hata huu uwanja uliopo hii park aujafyekwa.
Walinzi wa nchi hawawezi kuto ona faida ya SGR, waache watu waharibu; hakuna label nyingine ya kuwapa zaidi ya kuwa watu wapumbavu mno.
Mambo mengine, hata kama hayatuhusu yanakera, yaani watu kabisa wathubutu kuhujumu SGR na nchi Ina vyombo vya ulinzi.
Pathetic