Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Unafika Nyerere day zaidi ya 30 changamoto ni za kawaida kwenye taasisi yoyote hasa ikiwa mpyaHuu mradi haufiki Nyerere day
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafika Nyerere day zaidi ya 30 changamoto ni za kawaida kwenye taasisi yoyote hasa ikiwa mpyaHuu mradi haufiki Nyerere day
Acheni kuwa defensive- kazi imewashinda nyie.Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
Kama Jerry Silaa alivyo ondolewaNi viongozi wakubwa wa CCM wapo na mawaziri kitachofuata ni yeye kuondolewa pale TRC
Kurukaruka siyo dawa ya ulimbo, tulia, umeutaka mwenyewe, nakufuatilia na vile huchelewi kuangusha gari mbona easy tu.Humtaki Robert Amsterdam? 🐼
Gari liliangushwa Chako Ni Chako gaidi Chalii 🐼Kurukaruka siyo dawa ya ulimbo, tulia, umeutaka mwenyewe, nakufuatilia na vile huchelewi kuangusha gari mbona easy tu.
Wenye mabasi ya abiria na magari ya mizigo watakuwa hawaupendi kwa kuwa hawatawapiga tena Watanzania kwa gharama za usafirishaji. Shida iliyopo ni kuwa viongozi nao wanamiliki vyombo hivyo vya usafiri sasa sijui nani atamfunga paka kengele.Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
kama taifa, tuungane dhidi ya hao wanaoleta njama, kwa hakika wanataka kuturudisha nyuma, tusikubali. tuwafichue popote walipo, hata kama ni boss wako ingia anonymous mfichue ili tuwashinde.Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
Huyu haeleweki. Basi yeye ndiye anayelihujumu shirika.Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
KmlmmmkoShujaa Magufuli au Kichaa Magufuli? Hebu nyoosha maelezo Joe.
Azizi AboodUnakuta mhujumu ni MTU mkubwa ndani ya chama tawala na mchangiaji mkuu wa Hali na Mali wa shughuli za chama, na ana ukwasi unaowazidi akina Kadogosa 19!
Nje ya mada, jina halisi la Abood ni Nani?
Mambo ya Ccm hayo, upo sahihi mkuu.Ni viongozi wakubwa wa CCM wapo na mawaziri kitachofuata ni yeye kuondolewa pale TRC
Kutatua matatizo ya hii nchi ni kama kukata tawi ulilokalia mtini🤣! Chanzo kiko kwenye shina la mti ambao ndio umekupa tawi ukalie ila cha ajabu watu wanauogopa sana mti😁!Shida yaweza isiwe Kadogosa, shida ni serikali na CCM nzima. Ina maana hii nchi kila mkurugenzi wa shirika huwa ni kichaa?
Si ni hawahawa wana akili nzuri tu kwenye familia, kanisani/msikitini/kilingeni, mtaani, shuleni walikuwa sawa, vyuoni walikuwa vizuri sana, wengine walichaguliwa kusoma nje, wengine walikuwa na careers nzuri mashirika ya kimataifa?
Sasa inakuwaje ghafla wakiwa wakurugenzi wa TANESCO, TRC, TTCL, Posta, Bandari wanakuwa wehu/mbumbumbu/wendawazimu/vilaza. Na wakibadilishwa wanakuja wengine nao ni wehu na waliotoka nao wehu.
Kwa mfano kama wanaohujumu reli ni 'mjumbe' mwenye asili ya Kiasia pale Morogoro na ana cheo bungeni na ana urafiki na awamu ya nne. Mhujumu mwingine labda ni baba 'Esther' na anakaa baraza kuu. Mwingine ni haohao wezi na wapo connected na serikali kuu na marafiki zao. Huyo Kadogosa mwenyewe kawekwa na wao ni nani awazidi nguvu. Siasa zinaingilia maslahi ya kitaifa.
Kwani wewe mamako alikutolea kupitia njia ya haja kubwa ? Bwabwa wewe.Kmlmmmko
Usiongee vitu kama Mkunduw, mxenge wa uzeeni ww.Kwani wewe mamako alikutolea kupitia njia ya haja kubwa ? Bwabwa wewe.
Babako ndiye shoga ndiyo maana huna kili choco wewe, mashoga mnajifanyaga wababe kumbe ukali wa sindano tu nyuma uzi unaingia.Usiongee vitu kama Mkunduw, mxenge wa uzeeni ww.