johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ni ushauri tu Kwa Kadogosa kwa Sababu hivi " Visu" anavyoleta Shabiby kwa Wasafiri wa DAR - Dodoma si mchezo
Ni business class ya ukweli kabisa halafu masaa 6 tu kila kitu ndani
Kwa sisi tunaopenda Safari za Usiku jamaa katukamata
Siyo Kila mkwamo ni Hujuma bali Wakati mwingine ni kuzidiana mikakati ya kiushindani tu
Jumaa Mubarak 😀😀