johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
-
- #21
Hata ukipanda Champion Usiku muda ni huo πππ₯Masaa sita basi husika kitakuwa linaruka? Bila uwepo wa double lane haiwezekana kwa msongamano wa magari uliopo Morogoro Road basi litumie masaa sita tu
Mjinga anapokuwa na nguvu, mwerevu yuko matataniWakati kiuhalisia wao ndo vilaza, tofauti ni kwsmba wao ndo wamepewa dhamana ya kutuongoza!
Yaani vilaza lakini tunawaita WAHESHIMIWA!!!.
Ulitakiwa uione bussiness class ya sgr kenya,Kitu Cha pekee nacho jua ni mwendo na treni ya umeme,mengine ya design sio muhimu.
Asante!Haya π