Kadogosa wa TRC, Badala ya kutetea Kodi za Watanzania yeye amekuwa mpiga debe wa Mkandarasi Yepi Markez. Je, tuendelee kumuamini?

Nyie

Ninyi ni wale wapuuzinaotaka kula cha juu kisha mradi uwe na ghalama kubwa.
Kama mnataka kushundana basi mjenge kwa kiwango cha chini ya hao yapi markenz na reli iwe na uborawa juu kama wa awali hapo tutawaelewa.
Majitu kama wewe ni wapumbavu Sana,hujasoma mada wala kutafuta gazeti unaropoka mbwa wewe..

Nimekwambia huyo mpumbavu mwenzio analazimisha Yapi wapewe Kazi bila kushindana tena kwa gharama kubwa .

Lot ya Mwanza alitaka hivyo hivyo wakashindanisha yeye alikuwa na bei kubwa kuliko mchina,hapo nani anataka kula cha juu?

Ni hivi hiyo kampuni mliyoiweka Ili mpate pesa za bure ikaliza hicho kipande habari yake imeisha maana mnalazimisha ipate tender bila ushindani kwa sababu mnaitumia kupitisha pesa kwa kuongeza bei ya tender..

Haiwezekani walitofautiana na mchina kwa zaidi ya Til.1 lakini bado mnashinikiza.

Mama fukuza hawa misukule ya mwendazake ni majizi yamejificha kwenye kichaka cha uzalendo
 
Ubora hauwezi kuwa compromised kwa sababu ishu ni kusimamia tuu na wasimamizi wapo.
 
Umesoma au umekurupuka kama mkojo?

Unapewa au unashindana? Kwa hiyo wasipewe tender hata kama wanajenga kwa gharama ndogo Kisa Wana mafisadi nyuma?

Nchi inataka value for money au mambo ya ufisadi? Nani anataka kupiga anaeweka bei kubwa au mwenye bei ndogo? Akili kisoda.
 
Umeelewa mada au umekurupuka kuandika ujinga wako hapa?

Rudi kusoma Kisha uje kuandika maoni yako upya maana unayoyasema hayaendani na mada yangu..

Mada ni gharama za ujenzi Kati ya Yapi Merkez na washindani wake huku yapi akitaka kubebwa tena na Afisa wa serikali licha ya kuwa na gharama kubwa..

Kwako wewe Serikali kuokoa Til.1 kwa kumnyima Kazi Yap na kumpa Mchina unaona ni ujinga? Una akili timamu?
 
Hawapendi ulichokiandika ila ndo ukweli wenyewe.
 

Kwani huyo Kadogosa hana sababu za msingi kwa nini TRC inapendekeza Yapi Merkez badala ya lowest bidder?

Siyo kila kilicho cheap ni sahihi na tuna uzoefu wa wachina kubid lower lakini kazi ikawa mediocre baada ya muda mfupi tu.

Yote kati ya yote kama Yapi ameprove kudeliver hicho nacho ni cha msingi kisipuuzwe.
 
Point mkuu,kuna kenge wanakera sana hii nchi.
 
Nafikiri pia mtoa mada anadhani kubid cheaper ndicho cha muhimu zaidi kuliko factors zingine.
 
Ukiwa mj8nga usilazimishe wengine wawe wajinga na marofa kama wewe.
Sasa sema wewe unataka kampuni gani na ina bei gani na ubora gani na itatoa nini kwa watanzania?
Ili tuione ni bora kuliko hao makenzi sema hapa tuijue kama sio nyie mafisadi.
 
Mchina ndio anayedhani hiz kelele humu mtaandaoni ila ovyo kabisa BRT Ya mbagala gerezani anasuasua bado kapewa uwanja wa kimataifa wa ndege msalato
 
Wale Wachina waliojenga TAZARA walipotelea wapi?
Kitu kimejengwa mwaka 70 ila hadi leo kinadunda.

Kila zama na kitabu chake. Wale walikuwa na teknolojia, uaminifu na uzalendo wa kweli wa kikomunisti. Walikuwa na nguo aina moja tu na kulala site juu ya masanduku ya mbao. Kizazi chao kilipita.

Wajukuu zao ndio hao wanaokuja leo wamevaa suti na kufikia Serena au Hyatt. Wanajadili na kusaini mikataba ya kibepari kwa viwango mbalimbali. Wako “flexible”: Pesa yako tu.

Ukitaka kiwango cha kimataifa basi lipia bei yake na uwasimamie kikamilifu. Ukitaka wakugawie 10, 20, hata 50 pasenti ya bei, hamna tabu; wanafanya “adjust” tu kwenye kiwango cha kazi. Na usimamizi ukiwa wa kubabaisha wanaweza hata kukujengea “reli ya mabua” yenye mwonekano wa chuma cha pua!
 
Hapo kwenye anayetoa maoni tofauti na wao na aswa kwa yale wasiopenda kuyasikia ndo kuna vita kubwa kuliko.
 
Majizi yameanza kuchoma utambi na huku. Mlimuua Mfugale, mmemwondoa aliyekuwa waziri wa ujenzi, haitoshi mkamwondoa Kalemani kwa tricks na sasa Kadogosa. Wenye kuproject mbali tunaona na tunajua objectives zenu ila yana mwisho. Mkiona haitoshi na PM mtoaeni, mtoeni VP pia na muwatoe Kabudi, Jafo, Ndalichako na CDF make wote ni mabaki ya jpm. Wekeni mafisadi wenu na riz1 mpeni uwaziri kamili ..
 
Huko Kenya magazeti yanaanza kuleta taharuki kuwa Wachina wanataka kuchukua bandari ya Mombasa eti kwa kuwa serikali ya KQ umeshinda kulipa madeni ikiwemo ujenzi wa SGR. Kimsingi, Wachina wa leo sio wale wajamaa wa Mao waliojenga Tazara. Kuwa macho ni muhimu vinginevyo kuingizwa kingi itakuwa rahisi kama kumsukuma mlevi na taifa itabebeshwa gunia la misumari ya madini.
 
Kadogosa is part and parcel of Sukuma Gang. Ni masalia ya Mwendazake he must GO now. It's over!
 
Jamaa anazo kichwani safi sana

Mtoa mada kama kapuliziwa shekeli na mla nyoka maana ajui hata maana ya single Source😀
Mturuki ni bora akapewa hicho kipande maana kazi yake tumeiona Dar-Singida ni ya kiwango na sio mchoyo wa ujuzi kama mla nyoka.

Ni busara Mturuki akapiga lot zote zilizobaki kuliko kumpa mchina
 
Uko sahihi kabisa. Kwa nini kwenye mkataba tusiweke kipengele kinachowataka wachina washirikishe wazawa kama wanavyofanya waturuki na wamisri kwenye bwawa la Nyerere. Tusipotaka kutetea maslahi yetu hakuna mjomba dunia ya leo.
 
Yaani hawa jamaa wametupiga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…