Kadogosa wa TRC, Badala ya kutetea Kodi za Watanzania yeye amekuwa mpiga debe wa Mkandarasi Yepi Markez. Je, tuendelee kumuamini?

Wewe ni mpumbavu,hiyo tenda ya mwanza isaka imepitishwa kipindi cha Magu na Kadogosa,sasa kelele zako za nini
 
Huyu bibi mwenye matiti makubwa inatakiwa apatikane mtu kama Hamza ajitoe muhanga 😂😂😂
 
Wewe ni mpumbavu,hiyo tenda ya mwanza isaka imepitishwa kipindi cha Magu na Kadogosa,sasa kelele zako za nini
Kinachofanya saizi ashinikize ni nini? Kwa nn hakushinikiza kipindi kile apewe Mturuki? Anadhani saizi kuna loop hole? Atafukuzwa
 
Bei ndogo zina gharama zake tena kubwa zaidi kwa baadaye. Kinachotakiwa ni ubora si kuangalia gharama ndogo kama hizo za wachina. Reli wanayojenga waturuki hata bei ikiwa kubwa zaidi ya mchina lakini ubora wake unaonekana reli ya mturuki itadumu miaka mia moja lakini ya mchina miaka hamsini tu.
 
Ubora uko kwenye Usimamizi sio bei
 
Bora waturuki wana 'transfer knowledge' kwa wazawa bila choyo yoyote kuliko hawa wachina wanaleta wachina wenzao hadi vibarua kutoka China.
 
Ukiwa mj8nga usilazimishe wengine wawe wajinga na marofa kama wewe.
Sasa sema wewe unataka kampuni gani na ina bei gani na ubora gani na itatoa nini kwa watanzania?
Ili tuione ni bora kuliko hao makenzi sema hapa tuijue kama sio nyie mafisadi.
Wanataka wapenyeze kampuni zao hewa ionekane kampuni hii imesimama kutoa tender kwa kampuni ile yani mwisho kwenye kulipana watu wapige hela kilaini
 
Kwa hiyo kadagosa aendelee kuiba kwa kuwa aliwekwa na Mwendazake ?
 
Mturuki anajenga taratibu lakini kwa ubora wa hali ya juu kwa kufuata 'European standard' mafuriko yaliyopita wakati wanaendelea na ujenzi haijaathiri reli hata kidogo. Waturuki wanajenga reli idumu miaka miamoja na kuendelea.
 
Wachina hawafai kabisa katika miradi mikubwa kama huu wa ujenzi wa reli "case study ni kwenye SGR ya Kenya".
 
Yes sheria ya single sourcing ipo lakini ina wigo wake, ni lazima kuwe na some circumstances zinazoforce hiyo single source mfano unahitaji huduma ya kuunganishiwa umeme na kampuni iliyopo kwa sasa ni TANESCO peke yake, hapa sheria inaruhusu kutumia single source ila nje ya hapo mfano hii ya waturuki na wachina wote wanaweza kubid for tendering process.
 
Riz 1 anaingiaje hapo mtoto wa watu hana neno
 
Acheni upoyoyo nyinyi,Lini mchina akajenga vitu vya kudumu na imara wakati hata Barabara anazopewa tenda zinaanzia kuaribika Kabla ya ufunguzi.

Kadogosa ni engineer na anaelewa haya mambo,nyinyi mmekalia hizo 10% za wachina tu mambo ya shirika litabaki vp hamna habari nayo.

Nani asiyejua PPRA ilivyokua mpaka kupitisha tu mambo bora license tena mnajidai kuangalia hela tu huku mkitupilia mbali ubora wa vitu.Muacheni mturuki amalize hyo KAZI
 
Ww mtoto, shenzi kabisa, nitakupiga, mbwa koko ww, shithole unawatetea wachina unawajua jinsi wezi hawa? Tena hawafai kabisa majambazi hayo. Pumbaf ww
 
Ww mtoto, shenzi kabisa, nitakupiga, mbwa koko ww, shithole unawatetea wachina unawajua jinsi wezi hawa? Tena hawafai kabisa majambazi hayo. Pumbaf ww
 
Ww mtoto, shenzi kabisa, nitakupiga, mbwa koko ww, shithole unawatetea wachina unawajua jinsi wezi hawa? Tena hawafai kabisa majambazi hayo. Pumbaf ww
Hao wengine unaowatetea wewe unawajua? Acha upumbavu,Wachina wameshafanya kazi Tzn miaka mingi..

Natetea value for money sio upigaji mnapotaka kufanya kwa kushinikiza Kazi wapewe kampuni ambayo mliitafuta bila kishindanisha tenda Ili mpige pesa mbwa nyie.
 
PPRA ndio anasimamia tenda au Kazi yake ni kuhakikisha sheria ya manunuzi Inafuata? Uliwahi sikia PPRA ndio wanachagua contractor? Acha ushamba.

Kazi za wachina ziko mbaya wapi? Tzn hii barabara na majengo 3/4 wanafanya wachina sasa sijui wewe huo ubovu unauonaga wewe tuu au? Kama kuna ubovu hao mnaowalipa salary kusimamia ubora wa kazi wanakua wanafanya nini?

Tuache bei reasonable kwa ajili ya ujinga wa mtu au tukubali bei ya kupikwa kwa sababu za kipumbavu?

Upigaji ulizikwa Chato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…