Kadogosa wa TRC, Badala ya kutetea Kodi za Watanzania yeye amekuwa mpiga debe wa Mkandarasi Yepi Markez. Je, tuendelee kumuamini?

Hili lilikuwa genge la wezi,

Rais Samia toa huyu
Mmeanza kumuwangia kadogosa lkn jamaa ni best ceo wa trc mpaka sasa hakuna aliye perform kama yeye mnataka awekwe nani maana januari tayari yupo energy lbd rizi1.maana ni ulaji tu ndiyo la muhimu kwa sasa.tumerudi tulikokuwa.tenda siyo kufavor cheapest tu,kunahabari ya quarity muhimu zaidi,ww endelea kuwanga karibu kuna kucha.
 
Huyo menager wa trc walikuwa wanakula pamoja na mwendazake kama ilivyokuwa kwa atc nchi ilikuwa inaendeshwa kama shamba la bibi mimi nashauri sheria za manunuzi lazima zifuatwe.
 
Lengo lenu ni kuwaondoa msio wataka fanyeni hivyo. Nguvu mnayo?
 
Huyo Kadogosa ni pandikizi la Mwendazake.
Kwa mtaji wa tukio hili, hana muda mrefu hapo TRC.
 
Huyo Kadogosa ni pandikizi la Mwendazake.
Kwa mtaji wa tukio hili, hana muda mrefu hapo TRC.
Huyo,yule wa TRA, TPA na Tanesco waliwekwa kwa malengo maalumu.

Wako wengi walikuwepo Tanroads,nk bado kuna Kazi ya kuwang'oa maana walikuwa ni wapigaji na hakuna wa kuwagusa si VP,PM au kiongozi yeyote .
 
Sasa tunakubaliana kadogosa alikuwa sahihi? Maana mama Samia mwenyewe kasema itumike single source, mchakato wa tender unachelewa sana
 
Kuna jamaa namfahamu alikuwa anasimamia mradi wa ujenzi wa barabara za hapo Dar,wachina walikuwa wanamletea rushwa iliyonona ,sema jamaa naye hakuwa mchoyo alikuwa anatufanyia sherehe sana mtaani
 
Walitupiga sana tena kwa jeuri kuu.
Just imagine DAB aliwahi kupanda jukwaani na kuwatangazia watanzania kuwa yeye ndiye kijana anayekula maisha ya kipekee hapa nchini.
Masihihisho kidogo sio nchini ni DUNIANI hakuna anaye kula raha kama yeye 😀
 
Kama vipi na huyu mchina anayejenga hapa Mwanza apigwe chini aletwe mturuki, reli ya Mwanza itakuwa mbaaya kuliko ile ya dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…