masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Nataka kuanza mazoezi nimekua kama mdudu wapendwa,kuna ka gym karibu na goli langu hapa ila sasa huwa nawashahudia ile miili jamani...mmh..nyie
Inahitaji kujitambua sana kuiacha kama ilivyo.
By the way nahitaji mwanamke anaepiga mazoezi tupeane changamoto na fursa katika hili swala la kupungua
Nakuomba dm
Nikisema tu mwanaume mtahisi nahitaji hiyo miili
(Hamkawii kufukua makaburi) maana mwaka sasa nahitaji kuanza mazoezi full...ila kila nikiwaza kesho nianze naona siwez acha kitanda.
Kwa kweli afya yangu inaelekea kubaya.