Kadri mnavyopagawa na makalio na sisi ile miili ya mazoezi inatupeleka kona hiyo hiyo

Aiseee kwa mchakamchaka wa maisha...kila siku lunch inakukuta barabaran unakula hovyohovyo tu...plus chai na michapati....ni hatari buda

Jitahidi tu rafiki...

Otherwise fanya mazoezi mepesi, baada ya muda inaweza ikawa mrefu matokeo utayapata tu...
 
Fanya home kwako....tumia kamba kuruka kidogo tu asubuhi na jion. ..penda kutembea sometimes....

Maji moto or vuguvugu ya kunywa ...punguza ulaji pia.Ndo napambania mwenzio nilikuwa na kilo 80 now nipo 68 and still napambana
 
Story of my life😪😪
 
Hata wewe umekuwa bonge? Kweli hakunaga binadamu ambaye hawezi nenepa
 
Yaani unastuka Ukiona kifua Cha mazoezi? Aisee
 
Fanya home kwako....tumia kamba kuruka kidogo tu asubuhi na jion. ..penda kutembea sometimes.... Maji moto or vuguvugu ya kunywa ...punguza ulaji pia.Ndo napambania mwenzio nilikuwa na kilo 80 now nipo 68 and still napambana
Umepunguza kilo nyingi sana....aisee hongera sana.
 
masai dada pitia huu uzi you will learn a thing or two:

Unatokea mkoa gani

Thanks d
 
Ulitumia njia gani mremboo?
Fanya home kwako....tumia kamba kuruka kidogo tu asubuhi na jion. ..penda kutembea sometimes....

Maji moto or vuguvugu ya kunywa ...punguza ulaji pia.Ndo napambania mwenzio nilikuwa na kilo 80 now nipo 68 and still napambana
Na imechukua muda gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…