Kadri mvua zinavyonyesha ndio mgao wa umeme unazidi kupamba moto?

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Migao ya sasa ni kwamba maji yanazidi kupunguza kupungia kwenye Mabwawa au inakuaje?

Inashangaza sana kwamba Migao ya umeme ndio kwanza inapamba moto? Zambia walikuwa na Mgao wa umeme ila ulisha isha mara baada ya mvua kuabza kuenyesha kule kwao cha ajabu Tanzania ndio kwanza mgao unapamba moto na no one Care.

Hawa watawala hawajui kama ndio wanaongezea raia umasikini, hawajui wala hawalioni hili kabisa kwa sababu wako na kila kitu.

Yaani kiangazi na masika kwa Tanzania ziko sawa?
 
Wafyatua tofali na watengeneza mageti, milango, madirisha biashara sasa inazidi kuwa ngumu.Biashara hai changanyi kama sasa toka mwaka jana.
 
Ni wapi huko mlipo kuna mgao wa umeme?
 
Kwani hujui kuwa Tanzania ndio nchi pekee umeme haupatani na mvua?

Ikinyesha tu kidogo ujue soon kuna blackout.
 
Mgao wa umeme, ni pale umeme unapowashwa au kuzimwa sehemu fulani kwa muda fulani. Kwa kutangaziwa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…