MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Migao ya sasa ni kwamba maji yanazidi kupunguza kupungia kwenye Mabwawa au inakuaje?
Inashangaza sana kwamba Migao ya umeme ndio kwanza inapamba moto? Zambia walikuwa na Mgao wa umeme ila ulisha isha mara baada ya mvua kuabza kuenyesha kule kwao cha ajabu Tanzania ndio kwanza mgao unapamba moto na no one Care.
Hawa watawala hawajui kama ndio wanaongezea raia umasikini, hawajui wala hawalioni hili kabisa kwa sababu wako na kila kitu.
Yaani kiangazi na masika kwa Tanzania ziko sawa?