Kadri siku zinaenda naona maisha yatakuwa magumu sana

Kadri siku zinaenda naona maisha yatakuwa magumu sana

Cathylin 2002

Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
31
Reaction score
128
Habari za jioni Watanzania

Poleni na mihangaiko ya maisha

Basi baada ya kupata vijihela kwenye Forex. Nikawa najiuliza

Kwann US Dollar inazidi kuwa na nguvu au thamani San dhidi ya shillings?

Kadri siku zinaenda naona maisha yatakuwa magumu sana

Nin kifanyike?
 
Cha kufanya ni CCCM waachie dola ,japo vyama vya upinzani navyo havina msimamo yakinifu ila kuna kitu kitabadilika hasa kwa wanaotutawala kwa sasa.
Watawala wa sasa baadhi yao,hawafanyi vile wanapaswa kufanya kwa kuamini wao watatawala daima dumu(hizi fikra zinafanya nchi yetu ipige hatua moja kwenda mbele na kurudi hatua mbili kwenda nyuma...)
 
Habari za jioni Watanzania

Poleni na mihangaiko ya maisha

Basi baada ya kupata vijihela kwenye Forex. Nikawa najiuliza

Kwann US Dollar inazidi kuwa na nguvu au thamani San dhidi ya shillings?

Kadri siku zinaenda naona maisha yatakuwa magumu sana

Nin kifanyike?
Hakuna cha kufanya kwa watu wale wale , wabishi , wanaojiona wao ndio wao wako sahihi , wakati hawana mbinu zaidi ya kuwabana wakala hoi
 
Tanzania na waafrica ubepari hatuwezi kabisa tunajilazimisha kwa kweli, bora tuwe na umoja wa kuishi sehemu za pmaoja haya maisha ya kujifanya wapambani na hauna ramani utaishi kudhurura tu mjini hauna kitu .

Wnaofanikiwa ni wachache kweli unaweza kubaki town baada ya chuo ukashangaa miaka hata 6 ngoma bado bila bila ...Ukipata upenyo wa kuwa na pesa jenga familia kwa kujiandaa kuiwezesha kwa mali ,mbona jamii za Asia huku Africa wanaishi pamoja !?

Maisha ni magumu zaidi , hivi sasa mtu akikukopa basi ndio hupati pesa tena yaani watu wamekuwa matepli kwa sana yote ni sababu ya maisha magumu.
 
Habari za jioni Watanzania

Poleni na mihangaiko ya maisha

Basi baada ya kupata vijihela kwenye Forex. Nikawa najiuliza

Kwann US Dollar inazidi kuwa na nguvu au thamani San dhidi ya shillings?

Kadri siku zinaenda naona maisha yatakuwa magumu sana

Nin kifanyike?
Tuhame tu hili li nchi mkuu , hamna future humu
 
Back
Top Bottom