Tanzania na waafrica ubepari hatuwezi kabisa tunajilazimisha kwa kweli, bora tuwe na umoja wa kuishi sehemu za pmaoja haya maisha ya kujifanya wapambani na hauna ramani utaishi kudhurura tu mjini hauna kitu .
Wnaofanikiwa ni wachache kweli unaweza kubaki town baada ya chuo ukashangaa miaka hata 6 ngoma bado bila bila ...Ukipata upenyo wa kuwa na pesa jenga familia kwa kujiandaa kuiwezesha kwa mali ,mbona jamii za Asia huku Africa wanaishi pamoja !?
Maisha ni magumu zaidi , hivi sasa mtu akikukopa basi ndio hupati pesa tena yaani watu wamekuwa matepli kwa sana yote ni sababu ya maisha magumu.