kicheko_001 Member Joined Nov 5, 2023 Posts 6 Reaction score 2 Jan 8, 2024 #21 Kichwa cha habari yako imepewa jibu kwenye maelezo yako ya mwisho
Mkalukungone mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 862 Reaction score 1,755 May 10, 2024 #22 Wakuu,hivi umri upi ni sahihi kuowa au kuolewa ? Maana hili jambo limekuwa likijadiliwa na watu wengi naomba tushare mawazo
Wakuu,hivi umri upi ni sahihi kuowa au kuolewa ? Maana hili jambo limekuwa likijadiliwa na watu wengi naomba tushare mawazo
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 May 10, 2024 #23 Kwa nyie vijana wa 2000 huwa mkipata upwiru tu huwa si mnaoa ?
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 8,611 Reaction score 16,118 May 10, 2024 #24 Uzi murwa kbsa
Igombe fisherman JF-Expert Member Joined Apr 28, 2017 Posts 2,178 Reaction score 3,865 May 10, 2024 #25 Mad Max said: Wakishaingia mtegoni wanataka kutudanganya tuingie wote. Kataa Ndoa. Click to expand... Ukiona unaitiwa fusa na mtu asiye na uchungu nawewe basi kuna mawili. Huenda wewe ndiyo fursa ama kuna hasara anataka mulie wengi
Mad Max said: Wakishaingia mtegoni wanataka kutudanganya tuingie wote. Kataa Ndoa. Click to expand... Ukiona unaitiwa fusa na mtu asiye na uchungu nawewe basi kuna mawili. Huenda wewe ndiyo fursa ama kuna hasara anataka mulie wengi
M MELEKAHE JF-Expert Member Joined Nov 19, 2023 Posts 1,340 Reaction score 5,588 May 10, 2024 #26 ndoa nzuri ifungwe mapema