ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Mnafikaje saa nne mi ikifika saa moja sioni nasinzia.Yani nilijuaga we ni mdingi bwana, kumbe bado kabisa! Anyway.. unachosema kina ukweli, mimi ikifika tu saa 4 naanza kusinzia bar ๐
Nywea home mkuu,At 30 nadhani sio mwili, vipi kuhusu majukumu? I'm 41 Nina nguvu bado lakini stress ya majukumu, watoto, kazi unaona tu ni upuuzi kukesha baa Bora uupe mwili mapumziko
Nywea home mkuu. .Yani nilijuaga we ni mdingi bwana, kumbe bado kabisa! Anyway.. unachosema kina ukweli, mimi ikifika tu saa 4 naanza kusinzia bar ๐
Duhh ww umezidi sasa! Ila jana nimerudi saa 3 tu nikalala ๐Mnafikaje saa nne mi ikifika saa moja sioni nasinzia.
Mara zote nanywea home, natoka kidogo sana!Nywea home mkuu. .
Hayo ni mambo ya Vijana wasio na majukumu ni kama mziki tunaona ni kelele.Ukimuona mtu wa miaka 35, 40 au 50 anasema mimi hizo club nilishaacha zamani usiamini haraka. Mara nyingi si kwamba hataki kwenda, bali mwili unagoma tu. Mimi tu mwenyewe nina miaka 30 tu, lakini mara nyingi huwa nakaa na madogo fulani wa Myanmar tunakunywa kunywa nao whiskey kuanzia saa 1 hv jioni kufikia saa 4 au 5 mimi tayari macho yanakuwa mazito, mwili umechoka, akili inataka kitanda. Lakini hawa madogo wa under 20 ndiyo wanaanza kupasha moto. Wanaendelea na gitaa, vaping, kucheza pooltable mpaka asubuhi.nikagundua kuwa kadri umri unavyoongezeka, stamina ya kukesha inapungua. Siyo kwamba ghafla unapenda kulala au unachukia starehe. Hapana. Tatizo ni mwili unaanza kudai haki zake. Ukiwa mdogo unaweza kulala saa 10 alfajiri na kuamka saa 12 unaendelea na maisha. so ukiwaona wazee wakisema acha niende nyumbani mapema msidhani wameokoka sana. Wengine mioyoni mwao bado wangependa kubaki kusikia muziki mpaka jogoo awike ila mwili unagoma.
Wazee wenye familia na majukumu ni wengi mno bar kuliko vijana!Hayo ni mambo ya Vijana wasio na majukumu ni kama mziki tunaona ni kelele.
Sio tuu umri Bali akili inahitaji utulivu wa kufikiria familia na fainali uzeeni.
Ila kukiwa na mpira naweza kesha.Duhh ww umezidi sasa! Ila jana nimerudi saa 3 tu nikalala ๐
Mimi mziki tu๐Ila kukiwa na mpira naweza kesha.
Hatari sana.Mimi mziki tu๐
Hao ni wale wenye pesa za mboga na migogoro ya familia.Wazee wenye familia na majukumu ni wengi mno bar kuliko vijana!
Huyo tangu enzi za Kikwete yuko hivo hivyo na miaka selasiniYani nilijuaga we ni mdingi bwana, kumbe bado kabisa! Anyway.. unachosema kina ukweli, mimi ikifika tu saa 4 naanza kusinzia bar ๐
Inategemea unaanza kunywa sa ngapiMnafikaje saa nne mi ikifika saa moja sioni nasinzia.
SureNywea home mkuu,
Seran pass me the weed i want to talk something shit ๐, hiv ni kipi kinazungumza kwenye displaying pictureYani nilijuaga we ni mdingi bwana, kumbe bado kabisa! Anyway.. unachosema kina ukweli, mimi ikifika tu saa 4 naanza kusinzia bar ๐
Kumbee๐คญHuyo tangu enzi za Kikwete yuko hivo hivyo na miaka selasini