Kadri unavyochelewa kuoa hili jambo linazidi kutokea kwako

Kuna hekima flani kuoa mapema lakini early 20s, mpaka unafika 30s hamna jipya na kama umebarikiwa watoto ni raha sana kukua na wanao! Naunga mkono Chizi

Familia inatakiwa imuandae kijana kimajukumu akifika 18 ajitafute kwa namna yoyote sometimes malezi mabovu unakuta 28 bado uko nyumban tu kula na choo bure na Afcon unaangalizia kwenye flat ya mzee, hawez kua na wazo la kuoa huyu
 
Nyie ndio mnatuchakaza alafu mnaenda kuoa kwingine,alafu mtoa mada uliposema milango wazi Kila mahali ulimaanisha Nini me nimeingia mjini Jana jioni
Njoo inbox mama tuyajenge,natafuta mke
 
Mmh ila siyo wote ambao hawajaolewa basi ni wahuni, kuna wanaojiheshimu bana , ila pia mnachakaza wenyewe mbususu za watoto wa watu then mnakuja kupondea as if siyo nyie.

Usichakaze mbususu ya mdada usiye na malengo naye, ukifanya hivo dunia itakua salama, je mtaweza hilo?
 
Kwani nani anaenda kuoa mwanamke alievuka miaka 23
 
Kuona mwanaume aie bikra ni uchizi kama ulivyo wewe
 
Kauli mbiu ni moja ukiipaata ichakaze mbususu maaana hujui utaangukia wap
 
Mwanamke akiishatolewa bikra kabla ya ndoa huyo ni MALAYA! msianze kujitetea nyinyi wanawake wenye bikra ya masikio tu
 
nenda kijijini tafuta aliyefeli standard 7 au aliyefeli darasa la 4 na hakuendelea na shule tena.
Huyo aliyefeli hafahi kuolewa! Hata ukimwangalia kila idara atakuwa kapwaya! Kama unataka kuoa vizia waliofeli kidato cha nne! Hata huyo form four failure hafai! Tafuta hela oa wanaojitambua kuanzia form six na kuendelea
 
Huyo aliyefeli hafahi kuolewa! Hata ukimwangalia kila idara atakuwa kapwaya! Kama unataka kuoa vizia waliofeli kidato cha nne! Hata huyo form four failure hafai! Tafuta hela oa wanaojitambua kuanzia form six na kuendelea
mzee hao wa form six nitapata bikra?
 
Sasa anakuwa amechakazwa yeye au wewe?
 
Tatizo utaweza kutulia mpaka hapo utakapo kua tayari bila kuchakatana?.

Tuendelee kuomba Mungu na tuwe na kiasi.
 
Dume zima unaoaje mwanamke 22+?

Kwangu haitawezekana kamwe labda awe mchepuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…