Hapo kwenye majukumu ya wanaume sijakuelewa maana bibi na mama zetu walikuwa wanachangia asilimia kubwa pato la familia kwa kulima shambani na bustanini na kufuga kulisha familia.Hii vita sijui nani atakuwa mshindi, maana wanawake siku hizi hawana adabu wala utii tena kwa wanaume zao, kila kitu wanaonewa, wametoka kwenye kudai usawa sasa wanadai upendeleo , suala linalopelekea wanaume kuwazalisha au kuwaoa na kuwafuja tu hawawi responsible tena.
Zaman wanaume walikuwa responsible sana kwa familia zao, lakin wanawake walikuwa watiifu kwa waume zao, kadri siku zinavyozidi kwenda hali inazid kuwa mbaya, wacha tusubiri tuone