Kaduguga na Kassim Dewji lazima mkubali kuwa zama zenu zimeisha, kuondolewa kwenye bodi ya wakurugenzi Simba muda wowote

Hao ni wahuni! Simba tukiendekeza hao wazee tutarudi kwenye uhuni. Mtu bado anaamini uchawi na ndumba! Simba au Yanga bora ndio itayoshinda hakuna ndumba! Hizo ndumba mbona hazijawahi kuleta kombe la Afrika! Uswahili tu!
 
Nimemsikia mzee kilomoni anasema Simba ina dharau!
Hawa wazee wameamua kukiwasha ili kuivuruga Simba kiasi kwamba wanatuchefua sana sisi mashabiki.

Watu walizoea upigaji tu leo wanaona Simba
Imeteleza kidogo wanaanza longo longo
 
Kwa hatua Mo aliyofikia hawezi kurudi nyuma
 
Ila yule kitenge ndo maana manara alimwambia sio riziki yeye huwa anawatafuta wazee wa simba tu ila wa yanga hawagusi .
Kwann ni vibaya mtu wamedia kuwa yanga lkn akiwa simba ni sahihi? Maestro ni mtu wa simba na alishakuwa kiongozi simba lakini sio tatizo ila kitenge sio kiongozi yanga anapigwa vita mbaya.
 
Simba wa Yuda nilikuwa namuamini sana,tatizo ana ujuaji wa kizamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…