N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Jamaa pamoja na crew yake enzi za gazeti la sani walikuwa wanachora real life na kwa viwango...yaani unafuatilia vile vibonzo na unafurahika kabisa, huku Madenge akiwa ndo stelingi kwenye hii series ya jaridani enzi za dahari huko...Nashauri wahusika mzikusanye hizi kazi mziweke katika mfumo wa mjongeo (video ) ....muwaumbe hao characters vilevile tuendelee kupata burudani ktk simu zetu.
Mfano kina Quimby kazi zao za akina Tommy and Jerry bado zinaishi.
Madenge ni mfano halisi wa baadhi ya watoto wa siku hizi ambao hawataki kusikia la mkuu.
Ulimkubali nani kwenye series hii ya Sani.
Vielelezo vina hakimiliki