But butNiujue ukweli wa kismati
Jirani kipenzi salam nimezipokea kwa moyo wangu wote wa dhati.Nakusalimu jirani yangu
Khaaa umefikaje huku?Nakusalimu jirani yangu
Sio ya chi hii kwakweli dogo langu lipo vizuri jimilikishe sasaNaona umerudi unanukia manukato [emoji41]
Braza nimeuawa liveeKhaaa umefikaje huku?
Kesi hakuna tushukulu walimteka wamemuachia salama jivinjali na mtu wako sasaWewe utakuwa mtuhumiwa no 3
Nipo dear, ndio nimeingia muda huuHivi ney yupo?
AhahahaaaaaaNasikia katekwa na ......
Wanawake wambea nyie loohJose ama??
Wewe bado upo hai kabisa kelele za vyura tu.Braza nimeuawa livee
Jose! [emoji15]Jose ama??
Nakusikiliza wewe tuuu maana huogopi kupima ngoma!!Ofcoz tunapendana usisisklize ya watu nisikilize mimi tu
Hicho kigugumizi kimeanza lini?But but
We need to talk first Ney
Jirani yangu kipenzi, kumbe na wewe ni msaliti kiasi hiki?Jirani kipenzi salam nimezipokea kwa moyo wangu wote wa dhati.
Hofu yangu kwako maana kila nikija pale nyumbani hupatikani simu nayo ndio busy
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanawake wambea nyie looh
Wanao nipenda wameniita faster japo kimya kimya [emoji6]Khaaa umefikaje huku?
Dont do this NeyHicho kigugumizi kimeanza lini?
Sidhani kama nitaongea na wewe
Naona unanipaka mafuta kwa mgongo wa chupaKesi hakuna tushukulu walimteka wamemuachia salama jivinjali na mtu wako sasa