Kaeni Mbali na G na Iceman 3D

Kaeni Mbali na G na Iceman 3D

hahaa nia yko dinna apagawe sio ....kuwa nahuruma mkuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sina uhakika kama wa kwake anaitwaa hivyo G Master maana mm kwangu analia kama mtoto anavyonibembeleza sasa nitashangaaa kama yy ndo analiliwa kwingine ila tusichanganye madesaaaa

Mapenzi kama usukani mnazunguka tu mm naweka giah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hakuna my dia niamini mimi
Nakwambia huyo anakudanganya mm nimesema kesho naweka uzi na screen short mwandiko wake si unaujua lakin[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji16]
 
Back
Top Bottom