jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
ewaaaaa uko sahihi kabisaaaaaaaaaaaaMimi nafurahia inadvance shemeji
Najua mambo unayaweza hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ewaaaaa uko sahihi kabisaaaaaaaaaaaaMimi nafurahia inadvance shemeji
Najua mambo unayaweza hayo
ila unaonekana una siri unajua wewe shem jamanMimi nafurahia inadvance shemeji
Najua mambo unayaweza hayo
Aaahila unaonekana una siri unajua wewe shem jaman
utaniambia ili nijue jinsi ya kuweka mambo sawa. unajua tena nikiwa na full information nitajua jinsi ya ku handle hii kesi
teh teh
ok okAaah
Sku zote lawyer aki kuuliza lazma unakuwa mkweli. Ili mshinde kesi
Kwa hiyo mimi ntakuwa honesty kabsa
Tusije tukakuchambua kama karanga ukatokwa na povu kama mwenzio mahondaw na kutuita ati new members hatutakiwi kucommentNi Hivi Hawa watu Kaeni Mbali nao nawamiliki mimi ndio meneja wao.
Huyu G hamumjuui na sitaki mumjue Maana Wanawake wa humu nawajua wengine kupendwa hamjawah pendwa nikiwapatia username yake mtanipindua japo Ana msimamo kama Osama (anaishi Us?), hababaiki hata Uwe na nini ashaona Wanawake duniani wote si hababaiki namuamini 100% (baby unajua Nakuamini usiniangushe).
Anaefata Iceman 3D huyu mwanaume ni smart sana Jf ni namba 2 kwangu pia sidhani kama kuna anamfikia Labda Daby hawa ni smart sana wanaheshimu sana Wanawake ukitegemea leo ni Siku ya Wanawake duniani (hutakuta anatukana mwanamke au yeyote yule Jf wote Hawa) nawapenda Kufa japo G wangu na S hawachangii nao wanatuheshimu sana.
Sasa ni hivi, ukimtaka ice man password ninayo bora nifate kwanza mimi sitaki kumchagulia nyungaembe Daby, S, Iceman japo Daby ananizidi ujanja Basi jueni hizi ni Roho za Dinazarde Mkiwagusa mmenigusa na mimi pia.
Nawapenda Hawa watu nipo tayari Kwa lolote nawajua wananipenda pia kwa mwanamke ni mmoja tu humu huwa nae Yupo busy sana
Hala hala mkiwataka S, Daby, Iceman Nitafutieni kwanza nawajua sio maharage ya mbeya Hawa watu nawajua vyema humu. G simtaji .. Yupo maskini kuliko yeyote humu hahitaji kujulikana Kwa yeyote zaidi ya mimi PM zake Nimesoma nacheka tu mimi.
Kwa wanaonitaja bila Hawa ujue wanataka dudu na hawatopata, mimi ni muhimu sana humu jueni hivyo tu.
Mmenielewa nadhani niacheni roho zangu jamani
Iceman unajua nilikuota etMimi namba mbili mweeh!
[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
[emoji124]
Waooooo!Iceman unajua nilikuota et
Tulikua ma staring kwenye movie ya fantastic 4......alafu tuka[emoji8]Waooooo!
Nkikumiss
HahahahaTulikua ma staring kwenye movie ya fantastic 4......alafu tuka[emoji8]
Icho ndo kilinishangaza ...... Hatukuishia hapo......[emoji85]Hahahaha
You gotta tell me more about this dream.
Tuliishia hapo kwenye [emoji8] bas?
Hahaha hiyo ndoto nime ipendaIcho ndo kilinishangaza ...... Hatukuishia hapo......[emoji85]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kwa ruhusa ya dinazarde[emoji6]Hahaha hiyo ndoto nime ipenda
Tunahaja ya kuifanyia kazi hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] kwa ruhusa ya dinazarde[emoji6]
Tukutane location[emoji7][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dina atakuwa kw G saa hizi hapo umemstua mwenyewe.
Leggo!Tukutane location[emoji7]
Unajigawa gawa vp mkuu kwa hizo njembaz?Hawa wananipenda kufwa nawapenda from my heart