Kaeni Mbali na G na Iceman 3D

G [emoji52][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52]
 
Msongo wa mawazo unapozidi humfanya mwanadamu kuishi na kuwaza kama njiwa pori aliekoswa na manati..rubbish
......haswa haswa unapokuwa bado nyumbani,shule ya kuunga unga kwa dip/cert na usijue unachosomea kitakusaidiaje mbeleni!Lazima JF iondoe Msongo
 
Basi sawa
 
Nadhani wadada wamekusikia na wamekuelewa. ILA acha uchoyo na ujiamini. Kwa mkifaidi wote utapungukiwa nini maana sio Sabuni kwamba itaisha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…