Kaeni Mbali na G na Iceman 3D

Kaeni Mbali na G na Iceman 3D

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
Ni Hivi Hawa watu Kaeni Mbali nao nawamiliki mimi ndio meneja wao.

Huyu G hamumjuui na sitaki mumjue Maana Wanawake wa humu nawajua wengine kupendwa hamjawah pendwa nikiwapatia username yake mtanipindua japo Ana msimamo kama Osama (anaishi Us?), hababaiki hata Uwe na nini ashaona Wanawake duniani wote si hababaiki namuamini 100% (baby unajua Nakuamini usiniangushe).

Anaefata Iceman 3D huyu mwanaume ni smart sana Jf ni namba 2 kwangu pia sidhani kama kuna anamfikia Labda Daby hawa ni smart sana wanaheshimu sana Wanawake ukitegemea leo ni Siku ya Wanawake duniani (hutakuta anatukana mwanamke au yeyote yule Jf wote Hawa) nawapenda Kufa japo G wangu na S hawachangii nao wanatuheshimu sana.

Sasa ni hivi, ukimtaka ice man password ninayo bora nifate kwanza mimi sitaki kumchagulia nyungaembe Daby, S, Iceman japo Daby ananizidi ujanja Basi jueni hizi ni Roho za Dinazarde Mkiwagusa mmenigusa na mimi pia.

Nawapenda Hawa watu nipo tayari Kwa lolote nawajua wananipenda pia kwa mwanamke ni mmoja tu humu huwa nae Yupo busy sana

Hala hala mkiwataka S, Daby, Iceman Nitafutieni kwanza nawajua sio maharage ya mbeya Hawa watu nawajua vyema humu. G simtaji .. Yupo maskini kuliko yeyote humu hahitaji kujulikana Kwa yeyote zaidi ya mimi PM zake Nimesoma nacheka tu mimi.

Kwa wanaonitaja bila Hawa ujue wanataka dudu na hawatopata, mimi ni muhimu sana humu jueni hivyo tu.

Mmenielewa nadhani niacheni roho zangu jamani
 
Back
Top Bottom