Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namm nakupenda tuu ,tunapendana !!We jua Nakupenda tu
Nimekwisha sahau hizi salam. Kazi kwakoHizi salam naomba uzikishe kwa jirani yako pasipo kupunguza wala kuongeza neno [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jana mlinifunga mdomo sasa nipata sababu ya kusema yote niyajuayo maana naona hapa kuna ngoma drooNimekwisha sahau hizi salam. Kazi kwako
Ama kweli unanipenda ,yaan umeniquote mara mbili mbiliUnajua Nakupenda
Lengo lako ni nini hapo? [emoji15]Hizi salam naomba uzikishe kwa jirani yako pasipo kupunguza wala kuongeza neno [emoji23] [emoji23] [emoji23]
my ribsView attachment 708205
Nawaona wadada tulivyostop kwenda kwenye pm ya ice na G (......)
Lengo langu ni jirani yake KK (rafiki yangu kipenzi) atambue kuwa unamilikiwaLengo lako ni nini hapo? [emoji15]
Huyu G lazima nimpatee sasa mm nitakuja na screen short kabisamy ribs