Kaeni mkao wa kula, msiempenda kaja - Yusuf Mehboob Manji

Kama ni kweli,hakika huyu mwamba anaipenda sana hii tim,ni changamoto tu za awamu ile ndo zilimrudsha nyuma na kupelekea Yanga kudhoofika,enwei ngojea tusubrie tuona.
 
Mtu wenu mwenyewe keshaukana Utanzania, mnafikiri atakuwa na makeke kama yale ya zamani?
 
Acha yule mbwa alichangia sana kumumiza Manji ili Yanga ipate shida. Mungu si Athumani yeye mwenyewe havieleweki kabisa kwa sasa.
Hao aliowasaidia kufanya hujuma za kila namma ili wawe pazuri wanamwangalia kama nyanya mbovu wakati huu.
Wanasema aliuza nyumba ya kinondoni akanunua nyingine kigamboni ikachukuliwa na nini sijui
 
Klabu kubwa kama Yanga haiwezi fanya mchezo wa kurudisha rudisha magoli. Lengo la msingi ni kujaza ndoo kabatini.
Kwa hiyo ule wkt akiaapa tuseme alikuwa amrchanganyikiwa
 
Je bado anapesa?
 
Watakua wamevua mashati na kujipepea
 
Yule aliyekua mkuu wa mkoa Fulani alimfanyia fujo Sana akitambua kwa kipindi kile Manji alikua ndio mhimili wa Yanga. Kwa Sasa sijui anajisikiaje.
Siku nikiona Takukuru wanaanza kumzengea nitafurahi sana! Akifikia hatua aliyofikia Sabaya nitakunywa bia nyingi hadi nimcheue!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…