Kaeni mkao wa kula, msiempenda kaja - Yusuf Mehboob Manji

Kaeni mkao wa kula, msiempenda kaja - Yusuf Mehboob Manji

Nasema hivi,

Yule msiempenda anasogea kwenye meza ya chakula, maana ameonekana akinawa mikono na kijifuta kwa taulo safi jeupe. Amesema kuwa atashiriki kwenye chakula cha jioni siku ya Jumapili, Juni 27, 2021.

Mwenyekiti wa zamani klabu ya Yanga SC, Yusufu Manji yuko nchini na anatarajiwa kushiriki Mkutano Mkuu wa Wanachama utakaofanyika Jumapili, Juni 27, 2021. Manji amekamilisha mahitaji yote ili kuweza kushiriki Mkutano huo ikiwa ni pamoja na kulipia ada za uanachama wake.

Hii siso habari njema sana kwa upande hule wa pili, ambao wengi waliomba jamaa angeendelea kubaki uzunguni ili waepuke dhahama ya kuwekwa chini ya ulinzi na mwenyekiti jeuri.

Unadhanani mashabiki wa Mikia FC wanaumia kwa asilimia ngapi baada ya kusikia hii habari.?

View attachment 1826606
Sisi tunawasubiri tarehe 3 July tuwakekete.
 
Kiuhalisia kaadhofishwa sana kiuchumi na utawala wa awamu iliyoisha
Sio tu kudhoofishwa ule ujanja ujanja wake,hautakuwa na nafasi tena,watanzania tumeshafunguka macho!!tabia yake ya ulaghai akishirikiana na watendaji wa serikali hakuna nafasi tena kama hio,tunafurahi kwa kurudi kwake tena akirudi yanga sc,itakuwa vizuri zaidi ila mambo ya ujanja ujanja kwa sasa hatapata nafasi hio.
 
As long ccm wapo madarakani ujanja ujanja hautaisha kwa sababu watu aina manji ndio wanaotumiwa na ccm kufanikisha deal zao, manji sio mjinga arudi hivyi hivyi tu.
 
Back
Top Bottom