Kaeni mkao wa kula, msiempenda kaja - Yusuf Mehboob Manji

Sisi tunawasubiri tarehe 3 July tuwakekete.
 
Kiuhalisia kaadhofishwa sana kiuchumi na utawala wa awamu iliyoisha
Sio tu kudhoofishwa ule ujanja ujanja wake,hautakuwa na nafasi tena,watanzania tumeshafunguka macho!!tabia yake ya ulaghai akishirikiana na watendaji wa serikali hakuna nafasi tena kama hio,tunafurahi kwa kurudi kwake tena akirudi yanga sc,itakuwa vizuri zaidi ila mambo ya ujanja ujanja kwa sasa hatapata nafasi hio.
 
As long ccm wapo madarakani ujanja ujanja hautaisha kwa sababu watu aina manji ndio wanaotumiwa na ccm kufanikisha deal zao, manji sio mjinga arudi hivyi hivyi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…