Kaeni Mkao wa kula wiki ijayo naingia trending. Tanzania nzima inaenda kunijua

Kaeni Mkao wa kula wiki ijayo naingia trending. Tanzania nzima inaenda kunijua

Bongo trending ni:

1. Umeua panya road.
2. Unerecord video ya mambo flani.
3. Umeua au kujiua kisa Malove.

We unadhani jamaa ana fall wapi?
Hiyo namba 3 inamuhusu nadhani
 
Back
Top Bottom