Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Hivi Sensa si imekwisha inamana shule bado hazijafunguliwa tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He need to grow like a real man.Baba morgan usimuache morgan
Hii sio joke siku ikifika ndio utaamini nilichooandikaHivi Sensa si imekwisha inamana shule bado hazijafunguliwa tu?
Mimi sio panya and I don't think kama naweza kuwa. Ila be prepared for next weekBroo au ndio umeanza na u panya road
Tuko na ww sako tu bakoNita Trend Kwa lipi? Just wait and see..
Keshafukuzwa..karudi namtumbo.Updates??
Kwani ukisema amerudi kwao Namtumbo utapigwa ban..Keshafukuzwa..karudi namtumbo.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Au kufanya tukio kama la Hamza!!Bongo trending ni:
1. Umeua panya road.
2. Unerecord video ya mambo flani.
3. Umeua au kujiua kisa Malove.
We unadhani jamaa ana fall wapi?
Fanya kitu mkuu. Ubaya ubayani[emoji23][emoji23][emoji23]Hii serikali ina jukumu zito sana la kuongeza watahalamu wa saikolojia na magonjwa ya akili.
Si ajabu watu kama mtoa thread huanza hiv hiv huku watu mnambeza, na baadae majuto hutokea baada ya ninyi kushindwa kutoa msaada ama yeye mwenyewe kukosa msaada.
Uvumilivu kizazi hiki ni jambo ambalo halipo kabisa, mtu akichitiwa, akisalitiwa, akitingwa na maisha, akionewa ama kudhurumiwa anaona alternative ya kusolve matatzo ni kufanya maamuzi yasiyo sahihi, either kujitoa uhai, ama kumtoa uhai msababishaji, ama kumsababishia fedhea/kumuumiza jambo ambalo halistahili.
Ifike hatua kila mtu awe na kawaida ya kuhudhuria mahospitalin kila baada ya miezi kadhaa kucheki afya yake mwili mzima, bila kusahau suala la akili na mpangilio mzima wa control ya maamuzi yako.
Hali ni mbaya jamn, tukiendelea kuchukulia simple hili jambo, itafika wakati tutalaumiana lkn itakuwa too late.
[emoji117]Naandika haya namimi nikiwa na depression ya kuzinguliwa na mpuuz fulani[emoji23][emoji23], itabidi nikacheki afya pia