KAF Acquires Over 6 Hellcopters

KAF Acquires Over 6 Hellcopters

.......bro if we unite most Tanzanians will be employed kwa civil servants na mashule ili msaidie kumaliza au kupunguza ukabila...... Na most likely naona watanzania watakua ndio heads wa majeshi na institutions juu hamna ukabila... Mnaaminika,waganda na warwanda watakua kwa sectors za discipline juu ya seriousness yao.... Sisi wakenyawakenya tutashikilia international relations.... Within 10 to 20 years tutakua tumeblend na watoto waliozaliwa ndani ya jumuia watakua watu wazima.... Wataanza kuchukua usukani..... Believe me unity is the only way for prosperity..
Una mawazo mazuri blood... Ila Mfano mtu kama Magufuli akielezwa haya atakubali, kagame je, Kenyatta nae hapo sijagusia Museveni ambao wote hao ni walafi wa madaraka wapo tayari kuua ilimradi wabaki madarakani.
 
L

Kakaz mimi nina imani wana east africa wakiamua hakuna mwanaume atasumama mbele yetu kutukomesha lengo letu.... We will march to prosperity and a beter future....we will have trillions of dollers at our disposal because of the combined economy..... Just imagine what a population of 130 million plus citizens can be able to do.... Beutiful roads,international hospitals,world bank watakimbia kutupa maloans ya trillions wacha saa hii wanatupatia billions..... Jeshi peke yake itabidi iajiri wanajeshi karibu elfi sitini within 2 years......alafu mambo ya kujifungia kwa nchi moja maisha yako yote itaisha... Utakua na uwezo wa kuhama ukaishi kokote unakotaka within east afrika iwe msituni huko rwanda, uganda ama hapa kenya hakuna wa kukuliza chochote au passport.devided we fall united we stand strong and powerfull.
 
Aight bro... Don't stop dreaming cuz dreams are fo'real.... Na mie I wish iwe hivyo. Unity is power!
 
Back
Top Bottom