Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Kwan mwanaume ni yy peke yake tu humu dunian?Atamtoa wapi?
Men are all brothers but from different mothers!!
Kwan mwanaume ni yy peke yake tu humu dunian?
Babu acha hizo,watu hawafanani kbs!!
Please Lizzy,
Siyo kweli kwamba sie hatupendi haki....Tunachofanya ni kuwaeleza yale tuliyokutana nayo kwenye hii safari ndefu ya maisha.
Ni makosa kufanya hivyo??
Babu I beg to differ,Kweli kabisa, kwa maumbo hawafani...Ila kwenye mambo ya MMU, diversity kati ya wanaume ni karibu na zero!!
Watch out ndugu!!
Km ipo ipo tu Mzee wangu,Kweli kabisa, kwa maumbo hawafani...Ila kwenye mambo ya MMU, diversity kati ya wanaume ni karibu na zero!!
Watch out ndugu!!
Babu I beg to differ,
Makundi yoyote yale ya watu lazima yawe na utofauti ndani yao.Pamoja na kwamba zipo tabia zinazoweza kubeba kundi zima kwa mazoea bado wapo watu ambao hua ni tofauti kabisa. Nimeona mwenyewe.
Km ipo ipo tu Mzee wangu,
Nakila mtu ameumbiwa wake,haijalishi atakuja lini so km mapenz kwa jamaaa hakuna basi na amuache binti wa watu,aliye wake akitokea atampenda akiwa wala hajui km anajua kulea watoto au kufanya kazi vizuri!!!ndio maana huwa inatokea watu wanaulizaga "hivi jamaa pale kapenda nn/au huyu binti pale kapenda nn,majibu wanakuwa nayo wao wapendanao!!!
Sio rahisi kila mwanaume kumpenda mwanamke kwa vigezo alivyopendea mwanaume mwingine!!
Sometimes we got do what is right even if it feels wrong.Babu DC bado sijashawishika kwamba anampenda bali anam-appreciate na anatafuta namna ya kumfunga huyo dada kamba ili aendelee kuwepo.Na hata kama anampenda kwa sababu hiyo tu, bado sioni kama inatosha kumtia dada wa watu pingu alafu baadae aanze kumwambia "mtu mwenyewe nilikuoa tu ili uendelee kunilelea watoto". . . . sio haki kwa mdada.
Mapenzi kuzoeana tu,wataanza mdogo mdogo baadae watakolea wenyewe, kama Big Brother vileBabu hata mimi sio mmoja wa wanaoanguka (japo naamini ipo) kwenye hiyo dhana ya love at first sight.
Kinachonisumbua ni kwamba hicho tunachodhani mwanakaka anaweza akawa anampendea au kinamsukuma kuoa huyo dada hakitoshi kutrngeneza ndoa iliyo imara.Maana kama ni hicho tu, yani inawezekana akawa hana hisia za kimapenzi(ana mapendo nae tu) na huyo dada wa watu hiyo ndoa ya kazi gani?Sindo kesho na kesho kutwa ataebda kuridhisha hizo hisia kwingine?
Yani kama hiyo ndio hali halisi (kumpendea malezi) hana tofauti na wale wanaooa ili wapikiwe na kusafishiwa nyumba alafu baadae wanatafuta nyumba ndogo kwaajili ya mahitaji yao mengine.
Asante kwa kukubali yaishe coz,ni ngumu kunishawishi niamin kile unachoamini ww kuwa ndio sahihi!!Soma hapo chini!!
Naona mnachanganya mambo nyie wadada,
Ndoa na mambo ya mapenzi ni vitu tofauti kabisa......Kama hamtaki kukubali basi tuishie hapo!!
Kwahiyo unataka kuniambia kwamba wanaume wote hua mnaoa kwa sababu/nia zinazofanana na pia vigezo vyenu vinafanana?Soma hapo chini!!
Naona mnachanganya mambo nyie wadada,
Ndoa na mambo ya mapenzi ni vitu tofauti kabisa......Kama hamtaki kukubali basi tuishie hapo!!
Haki sawa!! Hawa wamama walienda Beijing kujiwekea malengo ya walau kuwa sawa kwa upande wa haki.Wewe ullienda wapi??mzee mwenzangu nisamehe bure,katika hili niko upande wa Lizzy,haki sawa kwa wote,hahahaaaaa!!!!!
Mapenzi kuzoeana tu,wataanza mdogo mdogo baadae watakolea wenyewe, kama Big Brother vile
Kwahiyo unataka kuniambia kwamba wanaume wote hua mnaoa kwa sababu/nia zinazofanana na pia vigezo vyenu vinafanana?
Haki sawa!! Hawa wamama walienda Beijing kujiwekea malengo ya walau kuwa sawa kwa upande wa haki.Wewe ullienda wapi??
Wanaume tunazaliwa na haki na Kamwe hatutakuwa sawa. WANAUMEEEEE
Haya bana, i'll settle for the lunch offer, au unakaribisha tu ila hulipi?Wanaume walio wengi siku zote wanaenda kwa mwendo huo.....!!
Soma hapo juu Lizzy,
Vigezo vinatofautiana sana kulingana na kitu kinachomzingua mhusika...Ila basic principle au rule of the thumb ni kama alivyoiongelea ndugu yangu hapo juu!!
Ni wanaume wachache sana wanawekeza hata 50% mwanzoni mwa mahusiano au ndoa!!!
Ngoja nikapate lunch kwanza....karibuni mmsindikize Babu!!
Hiyo "kwanini" tumjibie sisi kwani sisi ndio tunaoa?Wana JF, swali la huyu kaka ni kuwa amuoe au asimuoe huyo house gel? na kwanini?
Haya bana, i'll settle for the lunch offer, au unakaribisha tu ila hulipi?
Wana JF, swali la huyu kaka ni kuwa amuoe au asimuoe huyo house gel? na kwanini?