Kafanya usaliti anahitaji msaada wenu

Kafanya usaliti anahitaji msaada wenu

Jabakeke

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2019
Posts
386
Reaction score
361
Aliolewa miaka miwili iliyopita(2017),miezi miwili baada ya kuolewa mumewe akahukumiwa miaka 40 kwa makosa la unyang'anyi wa kutumia nguvu na makosa mengine(alimuoa akiwa nje kwa dhamana)

Bibie akawa amekata tamaa kabisa japokuwa walikata rufaa na kesi ilikuwa inaendelea,akaanza mahusiano ya kimapenzi na jamaaa mmoja kwa siri sana,hivi ninavyoandika uzi huu bibie keshatundikwa mimba na anatarajia mwezi wa nne mwakani ampokee Kijacho.

Wakati anatarajia kupokea huo ugeni mumewe naye kashinda kesi ya unyang'anyi wa kutumia nguvu na kesi zingine kwahiyo atatumikia jela miaka mitatu tu jela,panapo majaaliwa mwezi wa Saba mwakani jamaa atakuwa uraiani,ngoma nzito.B

ibie anawaza kuichomoa mimba ili ainusuru ndoa yake pia maisha yake,maana mumewe sio mtu wa mchezomchezo,kamshirikisha mtu wake kile anachofikiria kukifanya mtu wake anamwambia ukitoa mimba ama zako ama zangu la sivyo ukishajifungua mtoto siku hiyo hiyo niachie nitampeleka kwenye vituo vya kulelea watoto yatima ili akija mumeo muendelee na maisha yenu.

Ila sikubali mimba ichomolewe ikichomolewa na chomoka hukohuko,yupo njia panda anawaza hajui afanye nini kote kwa moto,kaniomba ushauri nimeshindwa kumpa ushauri hatimaye nimekuja kwenu wanajukwaa tiririkeni.
 
Jabakeke, ]ba ichomolewe ikichomolewa na chomoka hukohuko,yupo njia panda anawaza hajMaisha ni muhimu zaid kuliko ndoa. Hawezi mfanya chochote , amfate jela, amchane, kuw aliona miaka 40 haina future, akajiongeza. Life liendelee
 
Mwambie amtafute police njaa yyte ampe mtonyo kisha amfungulie jarada la kisela ambalo maelezo yake yaseme kwamba kabakwa na kusababishiwa ujauzito kuhusu tarehe ya siku ya tukio ifojiwe kwa kukokotoa kurud nyuma kadri ya umri wa mimba after kutoka jera huyo bwana ake Og apewa maelezo na uthibitisho huo na Huyu jamaa mchepuko akijifanya kumfwatilia mtoto amwangushie jumba bovu kwa kumchana bwana ake kwamba huyo mchepuko ndy moja kati ya watu walio mbaka
 
Huu mtihani ni mgumu, sio tu kwa mIsha yake na mabwana wawili ila tu kwa kuhusisha maisha ya kiumbe hai

Ila anyways jamaa wa pili ni anampiga bitti ili binti hazae na ata akitoa hatamfanya lolote
Kingine ni aaangalie maisha yake kama maisha yake na afanye probability ya mambo kwenya songomdole
Anaweza asizae mme akaja kutoka jela ndoa ikayeyuka kwa kuwa mme kabadirika, anaweza azae af mbelen huyo mme wa nje akaanza kuiendesha ndoa ya huyo binti kwa kumblackmail( ndo watu hufanyacho kama mkitaka kuachana vibaya)

Mi sio mdini ila kwa ushauri wang kama ni mkristo atoe hiyo mimba na kama ni muislam asitoe, akuna dini inayokubali kutoa mimba ila tu ukweli ndoa za wakristo hudumu sana kuriko za waislam na especially kama ni mwanamke akiwa na mtoto nje, mwanaume kamili hatolikubali na akiachwa hatoolewa tena kuringana na sheria za wakristo,
 
Afanye ajualo tushachoka kushauri starehe zao wenyewe,uyo mwanamke mumewe akija kujua atakiona cha mtema mkaa ,ataambiwa aliomba afungwe kabisa
 
Mwambie amtafute police njaa yyte ampe mtonyo kisha amfungulie jarada la kisela ambalo maelezo yake yaseme kwamba kabakwa na kusababishiwa ujauzito kuhusu tarehe ya siku ya tukio ifojiwe kwa kukokotoa kurud nyuma kadri ya umri wa mimba after kutoka jera huyo bwana ake Og apewa maelezo na uthibitisho huo na Huyu jamaa mchepuko akijifanya kumfwatilia mtoto amwangushie jumba bovu kwa kumchana bwana ake kwamba huyo mchepuko ndy moja kati ya watu walio mbaka

Insue sio kueleweka mbele ya mme wake insue ni kuhusu ndoa yake kuendeshwa

Ukishakuwa mpenzi wa mtu jua nyie ni maadui watarajiwa, otherwise muendelee na mapenz yenu
 
Huyo bwana hana akili kwahyo azae halafu mtt apelekwe wapi?! Mwambie huyo dada afanye kile anaona sahihi kwa manufaa yake.kama kutoa ni sahihi kwake atoe na kama ni kuiacha aache
Alichokuwa anataka mwanaume ni kumtorosha huyo mwanamke,baada ya bibie kugoma ndipo akamwambia basi azae na akishazaa aendelee na maisha yake ila amwachie kichanga kitalelewa huko atakako kipeleka
 
Hakutaka kushiriki kipindi kigumu na mtu aliyekula naye kiapo kuwa watakuwa pamoja kwenye shida na raha matokeo yake akamuacha jamaa anateseka yeye anafarijika huko. Muache akinywe kikombe chake mwenyewe.
Binadamu hatujakamilika hata siku moja,unamzungumziaje anayemwacha mwanamke anayemwacha mumewe nyumbani na kwenda kuchepuka?
Kumbuka huyu bibie mumewe yuko jela
 
Maisha ni muhimu zaid kuliko ndoa. Hawezi mfanya chochote , amfate jela, amchane, kuw aliona miaka 40 haina future, akajiongeza. Life liendelee
Si unasikia matukio ya wivu wa mapenzi,hofu yake kubwa ni hofu hajui mumewe atalipokeaje hili baada kuujua ukweli
 
Huyo dada anaweza akatoa Mimba na still Mumewe akitoka jela akagundua usaliti wake na akamuacha...azar tu mtoto ampeleke kwao
Ampeleka kwao au ampe baba mtoto ili akalelewe vituo vya watoto yatima?
 
Mwambie amtafute police njaa yyte ampe mtonyo kisha amfungulie jarada la kisela ambalo maelezo yake yaseme kwamba kabakwa na kusababishiwa ujauzito kuhusu tarehe ya siku ya tukio ifojiwe kwa kukokotoa kurud nyuma kadri ya umri wa mimba after kutoka jera huyo bwana ake Og apewa maelezo na uthibitisho huo na Huyu jamaa mchepuko akijifanya kumfwatilia mtoto amwangushie jumba bovu kwa kumchana bwana ake kwamba huyo mchepuko ndy moja kati ya watu walio mbaka
Je baba wa kambo atakuwa na mapenzi ya dhati kwa mtoto atamlea kama ambavyo angemlea baba yake mzazi?wasiwasi ni kwamba huyo mtoto anaweza akafanyiwa kitu kibaya na huyo baba wa kambo
 
Hizi ndoa za siku hizi ni shida sana, asa mtu una mumeo hata kama yupo jela miaka 40, sawa ww cheat lakini usiliachie lijitu mambo yote hadi mimba jamani, muache anywe kikombe chake pumbavu zake,

Wasichana tunakwama wapi jamani, mwanaume ukilea lea ndy madhara yake kama hayo ww full stress mwenzako miguu juu kama anafangasi za miguuu khaaaaaa
 
Watery, Ni mwislam ,je asipotoa akaamua kuzaa huyo mtoto atalelewa na nani?
 
Afanye ajualo tushachoka kushauri starehe zao wenyewe,uyo mwanamke mumewe akija kujua atakiona cha mtema mkaa ,ataambiwa aliomba afungwe kabisa
Usichoke ushauri wako muhimu Sana,ikifika zamu yako nawewe utahitaji ushauri na utashauriwa hakuna bingwa wa maisha
 
Insue sio kueleweka mbele ya mme wake insue ni kuhusu ndoa yake kuendeshwa

Ukishakuwa mpenzi wa mtu jua nyie ni maadui watarajiwa, otherwise muendelee na mapenz yenu
Na akitoa uadui utakuwa mkubwa sana
 
Back
Top Bottom