Kafanya usaliti anahitaji msaada wenu

Kafanya usaliti anahitaji msaada wenu

Na akitoa uadui utakuwa mkubwa sana
Sometimes maadui ndio wanaokusogeza mbele zaidi, maisha ni yake aangalie akili inampeleka wapi....ila asitegemee mmewe atamuelewa.........hata akizaa akampa huyo mchepuko....itajulikana tuuu......na akijaribu kutoa ndio wa kwanza na mwisho....avunje ndoa....kisheria inakubalika kama mme yuko jela......ila ana mchepuko kilaza sana asitegemee msaada huko...imekula kwake....achague kuua au kuvunja ndoa kipi bora...
 
Jabakeke mwanamke asyeweza kuvumilia tendo la ndoa hawez kuvumilia jambo lolote, kwanza hata mwaka ulikuwa haujafka, pili walikuwa kwenye rufaa, sasa badala ya kuwa busy na rufaa na kumwombea mume ili atoke, yeye anawaza ngono, si umalaya huo.
Mahitaji ya mwili mkuu
 
Bora azae tu naye ni binadamu angesubiri adi lini? Asije akatoa mimba kisa mwanaume waliyekutana wote wakiwa na meno 32 aisee asije jutia maisha yake yote
 
Hivi ukishinda Rufaa ya miaka 40 inabid ukae kifungoni Miezi mi3 ndio urudi Uraiani!? Au mimi ndio mgeni hapa!?

Alisikika Ngumbalu mmoja akizungumza peke yake
 
Hivi ukishinda Rufaa ya miaka 40 inabid ukae kifungoni Miezi mi3 ndio urudi Uraiani!? Au mimi ndio mgeni hapa!?

Alisikika Ngumbalu mmoja akizungumza peke yake
Ukirudia kusoma utaelewa mkuu
 
Bora azae tu naye ni binadamu angesubiri adi lini? Asije akatoa mimba kisa mwanaume waliyekutana wote wakiwa na meno 32 aisee asije jutia maisha yake yote
Ujumbe utamfikia
 
Huyo bwana hana akili kwahyo azae halafu mtt apelekwe wapi?! Mwambie huyo dada afanye kile anaona sahihi kwa manufaa yake.kama kutoa ni sahihi kwake atoe na kama ni kuiacha aache
Kwahiyo unashauri afanye mauaji ya kiumbe kisicho na hatia,

Ndo maana tunasema wanawake wengine ( ukiwemo na wewe) ni masheteni tu.
 
Kwahiyo unashauri afanye mauaji ya kiumbe kisicho na hatia,

Ndo maana tunasema wanawake wengine ( ukiwemo na wewe) ni masheteni tu.
Shetanii wa miguu mingapi?!
Soma elewa nmesema afanye anachoona sahihi kwake kumbe hata ukimshauri asitoe wakat ameshaamua atoe atakusikiliza?!
 
Mwambie amtafute police njaa yyte ampe mtonyo kisha amfungulie jarada la kisela ambalo maelezo yake yaseme kwamba kabakwa na kusababishiwa ujauzito kuhusu tarehe ya siku ya tukio ifojiwe kwa kukokotoa kurud nyuma kadri ya umri wa mimba after kutoka jera huyo bwana ake Og apewa maelezo na uthibitisho huo na Huyu jamaa mchepuko akijifanya kumfwatilia mtoto amwangushie jumba bovu kwa kumchana bwana ake kwamba huyo mchepuko ndy moja kati ya watu walio mbaka
Mdada akifanya hivyo mchepuko atatoa msg na voice notes walizokua wakiwasiliana kuonyesha kua hawakubakana, bali walikua wapenzi.
 
Mdada akifanya hivyo mchepuko atatoa msg na voice notes walizokua wakiwasiliana kuonyesha kua hawakubakana, bali walikua wapenzi.
We unazan huyo mumewe akijazw hizo taarifa na mkewe kutakua tena na amani hadi ya kuonyeshana voice note na text kati ya hao wa wili mume og na mchepuko Hapo Ni kuwindwa tu mchepuko kwa siri siri na kuchomwa mibisu na kurest in peace bac
 
Hii kidogo italeta maana japo kwa tabu
Mwambie amtafute police njaa yyte ampe mtonyo kisha amfungulie jarada la kisela ambalo maelezo yake yaseme kwamba kabakwa na kusababishiwa ujauzito kuhusu tarehe ya siku ya tukio ifojiwe kwa kukokotoa kurud nyuma kadri ya umri wa mimba after kutoka jera huyo bwana ake Og apewa maelezo na uthibitisho huo na Huyu jamaa mchepuko akijifanya kumfwatilia mtoto amwangushie jumba bovu kwa kumchana bwana ake kwamba huyo mchepuko ndy moja kati ya watu walio mbaka
 
Jabakeke, ]ba ichomolewe ikichomolewa na chomoka hukohuko,yupo njia panda anawaza hajMaisha ni muhimu zaid kuliko ndoa. Hawezi mfanya chochote , amfate jela, amchane, kuw aliona miaka 40 haina future, akajiongeza. Life liendelee
Ni kweli, kama mwanaumu ni mwelewa ataelewa na kama atamuacha basi aendelee tu na maisha mengine cha muhimu asije tu kutafutiwa gunia mbili za mkaa
 
Aende kanisani akasikilize vzr mahubiri ya jmosi na jpili siku hizo mbili asikose kila juma halafu

Atasikia sauti ikisema nyuma yake aifuate atakuwa Roho anasema naye nini cha kufanya
 
Back
Top Bottom