Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mwambie waendelee kutanua njia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
soma elewa kisha jibuWewe unaetaka mtoto auawe una akili sana?
Sometimes maadui ndio wanaokusogeza mbele zaidi, maisha ni yake aangalie akili inampeleka wapi....ila asitegemee mmewe atamuelewa.........hata akizaa akampa huyo mchepuko....itajulikana tuuu......na akijaribu kutoa ndio wa kwanza na mwisho....avunje ndoa....kisheria inakubalika kama mme yuko jela......ila ana mchepuko kilaza sana asitegemee msaada huko...imekula kwake....achague kuua au kuvunja ndoa kipi bora...Na akitoa uadui utakuwa mkubwa sana
Kwahiyo unashauri afanye mauaji ya kiumbe kisicho na hatia,Huyo bwana hana akili kwahyo azae halafu mtt apelekwe wapi?! Mwambie huyo dada afanye kile anaona sahihi kwa manufaa yake.kama kutoa ni sahihi kwake atoe na kama ni kuiacha aache
Shetanii wa miguu mingapi?!Kwahiyo unashauri afanye mauaji ya kiumbe kisicho na hatia,
Ndo maana tunasema wanawake wengine ( ukiwemo na wewe) ni masheteni tu.
Mdada akifanya hivyo mchepuko atatoa msg na voice notes walizokua wakiwasiliana kuonyesha kua hawakubakana, bali walikua wapenzi.Mwambie amtafute police njaa yyte ampe mtonyo kisha amfungulie jarada la kisela ambalo maelezo yake yaseme kwamba kabakwa na kusababishiwa ujauzito kuhusu tarehe ya siku ya tukio ifojiwe kwa kukokotoa kurud nyuma kadri ya umri wa mimba after kutoka jera huyo bwana ake Og apewa maelezo na uthibitisho huo na Huyu jamaa mchepuko akijifanya kumfwatilia mtoto amwangushie jumba bovu kwa kumchana bwana ake kwamba huyo mchepuko ndy moja kati ya watu walio mbaka
We unazan huyo mumewe akijazw hizo taarifa na mkewe kutakua tena na amani hadi ya kuonyeshana voice note na text kati ya hao wa wili mume og na mchepuko Hapo Ni kuwindwa tu mchepuko kwa siri siri na kuchomwa mibisu na kurest in peace bacMdada akifanya hivyo mchepuko atatoa msg na voice notes walizokua wakiwasiliana kuonyesha kua hawakubakana, bali walikua wapenzi.
Mwambie amtafute police njaa yyte ampe mtonyo kisha amfungulie jarada la kisela ambalo maelezo yake yaseme kwamba kabakwa na kusababishiwa ujauzito kuhusu tarehe ya siku ya tukio ifojiwe kwa kukokotoa kurud nyuma kadri ya umri wa mimba after kutoka jera huyo bwana ake Og apewa maelezo na uthibitisho huo na Huyu jamaa mchepuko akijifanya kumfwatilia mtoto amwangushie jumba bovu kwa kumchana bwana ake kwamba huyo mchepuko ndy moja kati ya watu walio mbaka
Ni kweli, kama mwanaumu ni mwelewa ataelewa na kama atamuacha basi aendelee tu na maisha mengine cha muhimu asije tu kutafutiwa gunia mbili za mkaaJabakeke, ]ba ichomolewe ikichomolewa na chomoka hukohuko,yupo njia panda anawaza hajMaisha ni muhimu zaid kuliko ndoa. Hawezi mfanya chochote , amfate jela, amchane, kuw aliona miaka 40 haina future, akajiongeza. Life liendelee