naina19
JF-Expert Member
- Oct 8, 2019
- 294
- 510
Jabakeke Huyo rafiki yako alipoamua kuzaa na jamaa mwingine walikua na mipango gani, kuzaa tuu au kuishi pamoja?
Kama ni kosa limeshatendeka na mimba imepatikana... mimi simshauri aue mtoto wake maana hilo ni kosa lingine kubwa ambalo atajutia. Na hata akifanya hivyo huyo aliye jela atajua tuu anaweza asimkubali mtoto na akamwacha vile vile.
Atulie azae huku akisubiri talaka yake
Vinginevyo atakosa bara na pwani - atamkosa mume jambazi, atamkosa mtoto na baba mtoto nae atamwacha