Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kampa juve Jana akijua atashindaTanzania nchi ambayo kufa kwa mawazo ni kujitakia mwenyewe.
Siku za karibuni kumeibuka katuni zikiwaonesha watu watatu huku mmoja kati yao akiwa Kalala kwenye machela kukiwa na swali "KAFANYAJE HUYU?"
Hayo majibu ya hilo swali hebu tiririkeni hapo.View attachment 2149390
Nipo apa lete habariKwani nani alianzisha hii meme?
hahahaaaaaaaa nmecheka kwa sauti jmnKanunua luku.
Badala ya kuandika 5000.
Kaandika 500,000