Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baadhi ninaowajua bado wapoDuh! Sikujua kuwa viongozi wanaokimbiza mwenge huishia kufa ndani ya miaka mitano! Bahati mbaya hata sijui nitapata wapi majina yao nijihakikishie.
Hatari yaani mtu anasifia JahanamKuna siku naangalia MIELEKA namsikia my best perfomer RANDY ORTON anasema "HOLLY HELLY" anarudiarudia na watu wanashangilia
Kwangu ndo ilikua mwisho wa kufatilia mieleka, hio haikua sababu pekee ila kuna mambo mengi entertainment industry inatuingiza bila sisi kujua.
Ni mtizamo wangu
Unaruhusiwa kutofautiana nami
Loh, hiyo picha inanifikirisha.Watu wamepumbazwa kwa pamoja,
Watu wamefanywa mazuzu kwa pamoja,
Watu wamegeuzwa mabwege kwa pamoja
Na watu hao wala hawasikii harufu ya dawa ya ajabu wanayopuliziwa
MaCCM hayaoni hatari kuzungusha kibatari kwa mabilioni ya kodi zenu
Kwanini msitunze makumbusho ya taifa?View attachment 2702645
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ukutane na huyo kiongozi wao anawagombeza wazee wake hadharani, kama vile yeye ndo mkuu wa nchi😀. Wanasema unamulika huko na kule, nmesoma nikamaliza shule, sijaona faida chanya ya mwenge.Watu wamepumbazwa kwa pamoja,
Watu wamefanywa mazuzu kwa pamoja,
Watu wamegeuzwa mabwege kwa pamoja
Na watu hao wala hawasikii harufu ya dawa ya ajabu wanayopuliziwa
MaCCM hayaoni hatari kuzungusha kibatari kwa mabilioni ya kodi zenu
Kwanini msitunze makumbusho ya taifa?View attachment 2702645
Sent using Jamii Forums mobile app
nmesoma nikamaliza shule, sijaona faida chanya ya mwenge.[emoji419][emoji375]Halafu ukutane na huyo kiongozi wao anawagombeza wazee wake hadharani, kama vile yeye ndo mkuu wa nchi[emoji3]. Wanasema unamulika huko na kule, nmesoma nikamaliza shule, sijaona faida chanya ya mwenge.
Naona wanaupeleka tena mlima KilimanjaroKwanini ulinzi ni mkubwa hivyoView attachment 3125298
Mwenge sijaona umuhimu wake zaidi ya ngono zembe, magonjwa ya ngono mimba zisizo tarajiwa.
Umepumbaza watanzania wengi.
Mkuu mshana hatuna namna. Raia wamelala sana. Itoshe kuandika hivyo
mradi wa mil 14.
mwenge ukipita garama inatumika mil 300.