Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa

nyie mnao taka matambiko yafe....mmewaza kwa kutumia akili gani...? serikali haina dini lakini ina imani sana juu ya kutambika....iacheni kabisa serikali ifanye matambiko....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji87][emoji87][emoji87]
 
Kwanini mbio za mwenge bado zipo?
By france - April 20, 20160641

mwengeNIKIWA binti mdogo wakati nasoma shule ya msingi miaka ya 1980, nilizoea kusikia na kuimba wimbo mmoja ambao niliupenda sana mpangilio wake wa ala za muziki, na sauti zilizokuwa zikisikika. Huu si wimbo mwingine, bali ni wimbo ambao ulihusu alama kubwa sana ya Taifa letu: Mwenge wa Uhuru.

Wimbo ulikwenda namna hii: “Sisi tumekwisha uwasha Mwenge, tumekwisha uwasha Mwenge. Na kuuweka juu ya mlima, Mlima Kilimanjaro. Kuwasha Mwenge, Kuwasha Mwenge na kuuweka Kilimanjaro; Kuwasha Mwenge, Kuwasha Mwenge na kuuweka Kilimanjaro.”

Naam. Niliupenda mahadhi yake na nakumbuka hata tukiwa sekondari, tulitakiwa kuchangia shilingi tano za mafuta ya taa kwa ajili ya Mwenge huo. Tulijivunia Mwenge huu na tuliaminishwa pia kwamba una maana kubwa sana kwa Taifa letu.

Siku za hivi karibuni, hata hivyo, Watanzania wengi wanaonekana wameuchoka Mwenge. Imefikia hatua kwamba picha zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikionyesha Mwenge wa Uhuru na chini yake kukiwa na maneno: Mtumishi hewa namba moja. Picha hiyo imesambazwa sana na kuendelea kusambazwa kwake kunaweza kutafsiriwa kwamba watu wengi wanakubaliana na kauli hiyo ya kuwa kweli alama hii ya Taifa ni mtumishi hewa namba moja.

Wapo pia, nikiwamo mimi, ambao tulidhani kwamba baada ya Rais John Magufuli kuingia madarakani, basi angeufutilia mbali Mwenge, kwa maana ya kufuta kabisa hizi mbio za Mwenge ambazo zimekuwa zikifanyika kila mwaka. Huenda wengi wetu tulifikiri hivi kutokana na sababu mbalimbali ambazo zinasababisha tudhani kwamba Mwenge huu wa Uhuru hauna faida.

Bahati nzuri, niliposikia kwamba Mwenge haujafutwa, bado upo na utaendelea kukimbizwa mwaka huu, nikaamua kujiuliza maswali kadhaa. Kwanini hasa mbio hizi za Mwenge wa Uhuru hazijafutwa?

Kwa kuanzia, naomba nitofautishe vitu viwili hapa: Kuna Mwenge wa Uhuru, halafu kuna Mbio za Mwenge wa Uhuru. Ni mambo mawili tofauti. Ili kuelewa tofauti ya mambo haya mawili, nadhani inatupasa kurudi kwenye historia.

Kwa ninavyoelewa, Mwenge wa Uhuru ulianza Disemba 9, 1961, siku ya Uhuru wa Tanganyika. Wakati bendera ya Malkia wa Uingereza ikishushwa Uwanja wa Taifa, bendera ya Tanganyika ilipandishwa, sambamba na Mwenge wa uhuru kuwashwa juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro. Hiyo inadhihirisha kwamba Mwenge wa Uhuru una maana kubwa sana kwa uhuru wa nchi hii.

Kwa mujibu wa tovuti ya Serikali ya Tanzania, Mwenge wa Uhuru huzunguka nchi nzima ukiwa na ujumbe wa matumaini, upendo, heshima na amani. Mwenge huo huanzia katika mkoa wowote utakaochaguliwa kila mwaka na mbio hizo hufika tamati Oktoba 14, siku ambayo Taifa huadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Vilevile, tovuti ya Serikali inaongeza kwamba Mwenge huwa na ujumbe tofauti kila mwaka, kulingana na vipaumbele vya maendeleo vya mwaka husika.

Historia pia inatueleza kwamba siku Mwenge wa Uhuru ulipokuwa ukiwashwa juu ya Mlima Kilimanjaro kwa mara ya kwanza, Mwalimu Nyerere alisema maneno yafuatayo: “Tunataka kuwasha Mwenge na kuuweka juu ya Mlima Kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu; ulete tumaini pale ambapo hakuna matumaini; upendo mahali palipo na chuki na heshima palipojaa dharau.”

Mwenge huo uliwekwa kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro na Luteni Kanali, Alexander Nyirenda. Mwalimu Nyerere alisisitiza kwamba Mwenge una umuhimu mkubwa katika kuijenga Tanzania yenye umoja, upendo na mshikamano miongoni mwa watu wote.

Hiyo ilikuwa Disemba 9, 1961 na tangu mimi nilipokuwa na ufahamu wa kuweza kuwaza mwenyewe, nimekuwa nikisikia kila mwaka kukiwa na mbio za Mwenge. Nadhani lengo lake ni kujikumbusha kuhusu wajibu wetu kama wananchi kuwa na umoja, mshikamano, upendo na amani.

Leo hii, mwaka 2016, wananchi wengi sana wanaonekana hawana imani na mbio za Mwenge. Wana sababu zao za msingi kabisa, ambazo pengine zingefaa kuangaliwa. Sababu moja kubwa ni kwamba mbio za Mwenge zinamaliza tu hela kutokana na Mwenge huo kuwashwa kwa mafuta ya taa. Hela inayotumika kuzunguka nchi nzima ni kubwa sana, pamoja na posho na usafiri kwa wale wakimbiza Mwenge wote.

Sambamba na hilo, ni ukweli usiofichika kwamba Mwenge ukilala kwenye eneo fulani, basi eneo hilo usiku huo kutakuwa na kucheza ngoma usiku kucha, pamoja na vitendo vya wazi kabisa vya zinaa. Ukiwauliza wahudhuriaji, watakueleza kwamba ifikapo asubuhi, kondomu zilizotumika huokotwa kwa wingi na zinaweza kujaza ndoo kadhaa. Ikumbukwe kwamba hizo ni zilizotumika. Kuna uwezekano mkubwa kwamba wapo watu ambao hata hawakutumia kabisa kondomu. Ni alama mbaya sana, kwani mbio za Mwenge wakati mwingine hutumika kama upenyo wa kufanya zinaa isiyo salama.

Lakini vilevile, swali lingine ambalo watu wengi wamekuwa wakijiuliza, ni: Hivi kweli wananchi wanafahamu maana na umuhimu wa Mwenge? Sisi tuliokwenda shule miaka ya 80 na 90, kabla ya kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa, tulikuwa tukielezwa sana kuhusu Mwenge na kulazimika kuchangia. Lakini, watoto wetu wanaosoma sasa hivi wanaelewa chochote? Wanafahamu kuhusu historia ya Mwenge na Nyirenda kuuwasha juu ya Mlima Kilimanjaro? Wanajua kuhusu kauli ya amani, upendo, mshikamano na matumaini iliyotolewa na Baba wa Taifa? Wanamfahamu hata huyo Baba wa Taifa na umuhimu wa kuuzima Mwenge Oktoba 14?

Haya ni maswali ambayo nadhani ofisi husika inatakiwa kuyapatia si tu majibu, bali kuyafanyia mkakati ili Taifa lielewe maana ya Mwenge na umuhimu wake.

Hivi, watu wanajua kwamba Mwenge ni alama ya Taifa, na kwamba upo kwenye ngao ile ijulikanayo kama ‘Bibi na Bwana?’ Watu wanaelewa kwamba Mwenge ukifutwa, maana yake ni kwamba unakuwa umefuta historia ya nchi na huenda hata ile ngao ya Taifa itabidi ibadilishwe kwa kuwa imebeba alama za Taifa?

Kila siku nasema, kwanini hatuwi wabunifu? Kwani ni lazima kuukimbiza Mwenge kila mkoa, wilaya na kata kila mwaka? Hakuna njia nyingine mbadala ya kuelimisha watu juu ya Mwenge na maana yake kwa Taifa? Hakuna ubunifu wowote wa kusaidia hata watoto wetu kujua kuna kitu kinaitwa Mwenge wa Uhuru na umuhimu wake kwa Taifa? Ni lazima kukimbia tu kila mwaka? Yaani yale yaliyofanywa miaka ya 70 yaendelee kufanywa hadi leo?

Kama mbio hizi za Mwenge wa Uhuru zipo tu kufuata utaratibu wa kila mwaka bila ya wananchi kukumbushwa umuhimu wake na watoto kufundishwa maana yake, basi hakuna atakayekuwa na kosa atakayeuita Mwenge huo mtumishi hewa namba moja.

Mwisho…

copy n paste...
Aya maneno yamenifanya ni sisimke mwili.kwa kweli yameniponya jambo flani ambalo nilikuw najiuliza sipati jibu.
 
Kuna baadhi yetu hapa naona hawasomi kila comment wanarukia tu kujibu tena kwa kupayuka
Baadhi wananitaka 'nibalance story' jamani hii ni mada ya kujadiliana sio kuripoti kitu.... Lakini pia nimeandika pia mawazo ya wengine kama hiyo njia ya kubalance

M
Mbona Jordan Rugimbana alikimbiza huo mwenge miaka ya 2000 mpaka kesho yupo.
[/QUOTE Mkuu umenikumbusha kipindi niko shule ya msingi Amani Dodoma huyu mtu alikuja kuzindua nyumba ya mwalimu shuleni
Mie niliimba kwaya ya kupokea mwenge
Kweli mwenge ni bure kabisa yaaani unazunguka Tanganyika yote kizindua kinyumba kimoja cha mwalim
 
Nimesahau jamani hivi nyerere alikufa oktoba tarehe ngapi,mana kama kuna ukakasi kidogo hapa kuhusu huu mwenge
 
Baada ya mazishi mwalimu aliyafanyia kazi maneno ya Forojo Ganze akaanzisha mwenge wa uhuru bila kujua ulikuwa na maana gani, baada ya hapo alimuagiza Yahya Hussein atafasiri maana ya ile namba 115, kama kawaida ya Shekhe Yahaya alitafasiri akamwambia kuwa namba hiyo inamaanisha "Utakufa ukiwa na umri wa miaka 77 na taifa la Tanzania kwa kipindi hicho litakuwa na umri wa miaka 38 ".

Hii inamanisha ukichukua 77 umri wa mwalimu jumlisha 38 umri wa taifa utapata 115, na hii ndivyo ilivyokuwa, mwaka 1999 mwalimu alikufa akiwa na miaka 77 na taifa lilikuwa na miaka 38 ya uhuru (77+38=115) pia utamaduni wa rais kuongea na wazee wa Dar es salaam unaendelea hadi sasa na wamekuwa na maamuzi ya kitaifa na husikilizwa sana wanachokisema.
Jiulize, mbona haijawahi kutokea rais akaongea na wazee wa Bukoba ama wa Arusha jambo la kitaifa?
Jibu, Zindiko la bagamoyo linafanya kazi
 
Dah nimekuelewa vizuri,ila ndo hivo tena tusha zindikwa tuko kama misukule
 
Kumbe tupo wengi.... Kuna ufalme wanawakilisha
Triple H kabla ya pambano la mwisho na undertaker aliuzwa swali akajibu, "my soul? I sold that a long time ago.." watu wakashangilia kweli.

Wasichokijua wengi ni kuwa alikuwa anamaanisha alichokiongea. Ameuza nafsi kwa shetani for fame, money and power

Nasikia vifo vya chris benoit & eddie guerrero vilikuwa ni kafara ya WWE
 
Acha kupotosha Umma wewe na Ukanjanja wa habari usizozifahamu kwa kina. Wakimbiza Mwenge Kufariki ulikua unajua chanzo chake au Wewe kwako kila jambo ni Ulozi tuuu??? Leta jina hata moja la Mkimbiza Mwenge aliyefariki tokea 1992 nitakupa Kiwanja Madale Bureeee. Tatizo lilikuwa aina ya Itifaki ya kukimbiza tu na siyo hayo unayobwabwaja wewe.
Pili Mwenge haujawahi kuwa na bajeti unayosema kuuuubwa HAIPO bali ni Wadau na Wahisani ndio huwezesha.
Tatu unapaswa kutambua Ile ni Alama ya Taifa na kila Taifa lina alama yake inayolitambulisha na huenziwa kwa namna mbalimbali na hivyo usilazimishe tuamini pumba zako kuwa ule ni moto wa uchawi, Ipo siku utaaminisha Jamii kuwa hata kupeperusha bendera ni Uchawi wa Kitambaa. Kaaa kimia uache dharau kwa alama za Taifa, unachofanya ni sawa na kuchana Noti, Kutembea wakati wa Kushusha Bendera nk nk UNATENDA KOSA LA KUDHARAU ALAMA YA TAIFA. So usitafute Cheap popularity ya happa JF itayakuja kuponza kichwa chako kisichotaka kuchuja nini cha kuandika.
Wahisani kutoka wap?
 
Triple H kabla ya pambano la mwisho na undertaker aliuzwa swali akajibu, "my soul? I sold that a long time ago.." watu wakashangilia kweli.

Wasichokijua wengi ni kuwa alikuwa anamaanisha alichokiongea. Ameuza nafsi kwa shetani for fame, money and power

Nasikia vifo vya chris benoit & eddie guerrero vilikuwa ni kafara ya WWE
Wasiojua kuhusu ulimwengu wa roho wanaweza wasielewe ulichoandika
 
Forojo Ganze, Sheikh Yahya Hussein....duuh
Hawa waliandika miaka hiyo hawakuitwa wapotoshaji.... Leo kuandika Jr imekuwa nongwa.... [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haiwezekani wote tufikiri sawa sawa. I am just wondering, kwanini tunaamini tatizo letu ni huo mwenge? Sio akili zetu kweli?
 
Uko sahihi kabisa... Lakini huu ni mjadala hatuwezi wote kuwaza njia moja... Nimemaanisha wale waliojaribu kunitisha na
 
Haaaahaaaa....hawajui wewe ni baba mchungaji. Tutaelewana tu
Na mlozi pia... [emoji34][emoji34][emoji34]wanajaribu kunitisha mimi [emoji34][emoji34][emoji34]watatishika wao... Subiri kuchwe kiza kiingie
 
Back
Top Bottom