Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]
Wrestlemania ni satanic ritual
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wrestlemania ni satanic ritual
Triple H kabla ya pambano la mwisho na undertaker aliuzwa swali akajibu, "my soul? I sold that a long time ago.." watu wakashangilia kweli.
Wasichokijua wengi ni kuwa alikuwa anamaanisha alichokiongea. Ameuza nafsi kwa shetani for fame, money and power
Nasikia vifo vya chris benoit & eddie guerrero vilikuwa ni kafara ya WWE
Lakin Shawn Michael wakat anaaga na huku akilia, alisema "Thank you ma fans, WWE, and thank you JESUS CHRIST"Triple H kabla ya pambano la mwisho na undertaker aliuzwa swali akajibu, "my soul? I sold that a long time ago.." watu wakashangilia kweli.
Wasichokijua wengi ni kuwa alikuwa anamaanisha alichokiongea. Ameuza nafsi kwa shetani for fame, money and power
Nasikia vifo vya chris benoit & eddie guerrero vilikuwa ni kafara ya WWE
Neno la hekima ni fumbo kwa mpumbavu siku zote mkuu, wala sitashangaaWasiojua kuhusu ulimwengu wa roho wanaweza wasielewe ulichoandika
I think Shawn Michaels anajua anachokifanya, sidhani kama alimaanisha. Mungu pekee ndiye anayejua.Lakin Shawn Michael wakat anaaga na huku akilia, alisema "Thank you ma fans, WWE, and thank you JESUS CHRIST"
Yah Mungu ndy anayechunguza mioyo ya wanadamu!!I think Shawn Michaels anajua anachokifanya, sidhani kama alimaanisha. Mungu pekee ndiye anayejua.
Kweli! Niliona kila kitu! Hakika nilishtuka kwa ghafla lakini ujasiri ukaniingia hebu nijaribu kufanya jaribio la kuuaibisha na wadanganyika wote wajue kilichofichwa nyuma ya pazia na waukatae kabisa ushetani huu!...basi tukaupokea ulipofika mkoani kwetu,
Nikatoa yale mafuta nikajipaka, na maji nikanywa.
Nikanuia kimoyomoyo huku nikiukazia macho, nikawaona wale askari wakihangaika kuuzuia usizime kwa upepo,
Nikafanya vile mara 99 kisha nikakiendea kile kioo, kwa makadirio ya umbali alionielekeza nikasimama na kutazama mawiyo kwa kuupa mgongo mwenge ule,
Nilikipaka damu kama yalivyokuwa maelekezo kisha nikakifuta kwa kitambaa kipande kile cha kioo.
Nilinuia tena ndipo nikanyanyua kioo kinisaidie kuona nyuma yangu!
Kweli! Niliona kila kitu! Hakika nilishtuka kwa ghafla lakini ujasiri ukaniingia hebu nijaribu kufanya jaribio la kuuaibisha na wadanganyika wote wajue kilichofichwa nyuma ya pazia na waukatae kabisa ushetani huu!
Kama vile alikuwa ananisoma akili yangu, akanambia, "Acha, siyo leo, usithubutu"
Akaniachia maelekezo ya kufanya siku inayofuata.
Siku iliyofuata wakiwa katika msafara walitakiwa waondoke na "vifaa nilivyovitumia jana kuwatazama" la sivyo basi wao ndio waviharibu kwa kuwa uwapo wa vifaa hivyo "used" siyo rafiki sana kwa usalama wangu na wake pia.
Alinielekeza kutangulia mbele, nje ya mji kidogo, ambapo baada ya msafara kuanza safari ulipoanza kunifikia nilivizia gari lililobeba jitu lile nikarusha kioo na kichupa cha mafuta barabarani lakin nahisi dereva aliniona akakwepa, gari lililofuata likakanyaga, iliyofuata walikufa watatu hapo hapo na wengine hosp........
OOOOOOH SHIT KUMBE NILIKUWA NAOTA,
DAH NAJUTA KUSOMA THREADS ZA KUOGOFYA, ONA SASA NISHAANZA KUOTA NDOTO ZA UKWELI
Umesema.. , '' kwenye ulimwengu wa giza moto unatumika pia''Mshana Jr; wacha nikupe ushuhusa kidogo kuhusu MOTO. kuna siku weekend nikapigiwa simu na vijana wa kazi kwamba dada wa kazi anajipigiza hovyo hovyo...mama alikiwa kazini hajarudi ...nikawasha kigari changu fasta home kichwani nipo fit..si unajua tena weekend.
Kufika pale kweli namkuta dada anajipigiza hovyo hovyo nikajua huyu anakufa...mtu anajigonga ukutani, mezani , sakafuni...wanangu wanalia tu dadaa dadaaa...
Nikaona haya ni mapepo sasa nikaona ni muda sasa wa kuuinua ukristo wangu...(imani yangu ikaingia kazini ghafla)
Alivyojipigiza kichwa kwenye sakafu pale pale nikakandamiza kichwa na shingo nikaanza kukemea kwa damu ya YESU wewe pepo mchafu huna mamlaka kwa binti huyu...wewe ni kiumbe dhaifu usiye na mwili....tokaaa....tokaaaa ....tokaaa.
Weeee ni balaa!!... Moto ukawaka pale nani mshindi mimi ama like pepo...tukaendelea kama dakika tano hivi na mimi sikubali maana kichwani ninazo za weekend zinanipa nguvu..
Baadae nasikia tupe farasi na mkuki wetu... hatuondoki tupatie farasi wetu na mkuki....
Hapo hapo nikaona aaa kumbe kwenye ulimwengu wa roho nimeshashinda hadi nimewanyanganya silaha zao hawa mapepo...nikazidisha kwa damu ya Yesu huna mamlaka....
Aisee nikaona dada akalala hoi...nikamwacha...watoto hawaamini....
asiyeamini na aamini kwamba roho mtakatifu ni MOTO...jina la Yesu ni MOTO...ni Upanga mkali hatari na hakuna pepo linapenda kusikia ukitamka hilo jina...ukitaka we jaribu uone shughuli yake.
Lakini watu wajue vile vile kwamba kwenye ulimwengu wa GIZA MOTO unatumika pia.
Nimesema wengi sijasema wote... Kama nimesema wote nimekosea na naomba radhi
Wengi wetu tunaishi kwa kukariri mambo mkuu.Muwe wastaarabu kuelimishwa msivyovijua,Mwenge unaambatana na makafara makubwa sana siyo kuukimbiza tu ,kuna makafara mpaka ya binadamu hasa wanaopotezwa .