Kafara ya imegoma tena. Ni huzuni kubwa

Kafara ya imegoma tena. Ni huzuni kubwa

Vichekesho

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
66
Reaction score
3,277
Mechi ya 4 mfululizo. Admin usifute uzi, next time wapelekeng'ombe wenzao wametumia madume 5 ya ng'ombe, wao wametumia kondoo 2 na mbuzi 1.

Vilio vimetawala, kesho wakubwa hawaji.

Usiku mwema.

======
Updates:
Jini limeamua mchezo.
 
YANGA LEO TUNAUMIA au mech ni draw. Yanga hashind hii game.

Nina was was mkubwa japo hainihusi kiviillee
 
leo simba wanashinda au wana draw ili ujue hizo kafara ni propaganda ambazo hazina maana...
 
Hao ng'ombe wakishamaliza kazi nao wasisahau kutukaribisha supu kama kawaida.
 
Back
Top Bottom