wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Nina wadogo zangu baadhi wameamua kwenda kuanza mapema kusomea Taaluma vyuoni.
Nikiwa kama mtu mzima ninayezijua changamoto za wahitimu wa sekondari kupata wakati mgumu kuchagua taaluma ya kusomea nimeona nifanye extra research wasikurupuke kusomea vitu watavyojutia baada ya kuhitimu.
Kuna mwanafunzi anapenda mambo ya computer, nilipomhoji anataka kusomea taaluma ipi akaniambia Cyber Security, baada ya kuifatilia nimeona hii kozi ina demand kubwa nchi za ulaya na Marekani lakini kibongo bongo bado sana, inaweza kumpa taabu baada ya kuhitimu.
Ushauri kautoa huko google kwenye forums za Ulaya na Marekani, hivyo haupo feasible na soko la bongo.
Kwa research ndogo niliyofanya nimeona hapa bongo kozi zinazotamba ni Computer engineering, Computer science, IT, na nyingine mnaweza kunishauri.
Pia naombeni ushauri kuhusu chuo, ila kwa research ya juu juu huwa naangalia vyuo vyenye influence kubwa ya Alumnis nchini, kwenye mambo ya computer nimeona kuna Udsm wana chuo kinaitwa UCC, naombeni mnishauri na vyuo vingine .