kichenchele
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 539
- 176
Poleni na majukumu ndugu zangu.
Naombeni ushauri wa mawazo ya nini cha kufanya au wapi pa kuanzia, kuna mdogo wangu mtoto wa Shangazi yangu, amemaliza form 4 Mzumbe na kubahatika kufaulu kwa daraja la kwanza na point 12 na katika combination yake ya PCB. ana B+,B+,A.
Lakini amepangiwa shule ambayo kiukweli kwa mjibu wa maelezo yake haina hata maabara na ndo imeanzishwa mwaka huu kwa maana wao ndo wanaanza na form five. Huyu mtoto ni yatima na amesomeshwa na babu yake lakini naona anawaza sana kwa maana anasema juhudi zake ndo zimepelekwa pale?
Sasa mimi kama ndugu yake nimeona nije humu kuomba ushauri wa mawazo juu ya nini afanye walau apate shule nzuri na yenye ushindani aweze kuendelea na juhudi zake kama mwanzo, nawaombeni tu msaada wa mawazo ili kama uwezekano ahame katika hii shule maana mimi sielewi process unaanzia wapi na je uwezekano upo?
Tumsaidie kama mdogo wetu sote apate walau shule nzuri.