Kafulila acha kusifu na kuabudu zama zimebadilika, mvua zinanyesha kubali umepumzishwa, shika jembe ukalime

Kafulila acha kusifu na kuabudu zama zimebadilika, mvua zinanyesha kubali umepumzishwa, shika jembe ukalime

"TWEETE MOJA INAWEZA KUTUMIA MUDA GANI KUANDIKWA?

JE, KAFULILA ANAFANYA KOSA GANI KUMSEMEA RAIS NA NCHI YAKE?

JE?! HUYU KAFULILA KAANZA KUANDIKA HIZI MAKALA WAKATI GANI?

===
Tatizo lenu hamtaki na hampendi kila mtu anayemsemea Rais Samia Suluhu Hassan,

Tatizo ni Urais tu Samia,

Kwani Kafulila kuandika tweeter moja inatumia muda gani unaomfanya ashinde kulima?

Kwani Kafulila si ni mkulima wa Kahawa yule au mnataka na yeye apige picha Shambani?

#TATIZO HAPA NI URAIS TU
Kilaza kumbe na wewe. Kuandika hakumalizi hata dakika mbili. Ila kupanga nn cha kuandika na cha kumsifia mama na strategy ipi aitumie kumsifia, hiyo process inaweza chukua hata wiki nzima.
 
Back
Top Bottom