Kafulila ammwagia sifa Rais Magufuli kwa uongozi bora

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katibu Tawala mstaafu wa mkoa wa Songwe David Kafulila yuko mubashara Clouds TV akielezea mafanikio ya awamu ya 5 chini ya Rais Magufuli na makandokando ya upinzani hususani CHADEMA na ACT-Wazalendo.

Karibu.

Chanzo: Clouds TV.

Maendeleo hayana vyama!
 
KINYAAA KABISA HUYU ....AONGEZE SAUTI APEWE KAZI ...TENA !! ALIYEMUAMBIA AKAGOMBEE UBUNGE NANI ?
 
Kafulila yupo vizuri sana katika kujenga hoja za kitaalam. Wale wapenda kutazama mtu badala ya hoja zake siku zote hawapungukiwi ujinga wa kuandika mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…